Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza,
Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha Wasafi FM kinachoendeshwa na The Real Ommy, Ammy Gal na mshana au 3. XXL cha Clouds FM cha kina mchomvu mina Ally na Kennedy the Remedy?
No comments:
Post a Comment