Kamanda Muliro Ang’aka Ataja Wanaopaswa Kumiliki Bastola - EDUSPORTSTZ

Latest

Kamanda Muliro Ang’aka Ataja Wanaopaswa Kumiliki Bastola

 Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema kuwa sio sifa kumiliki silaha endapo huna vigezo vya kuimiliki kwa kufuata sheria.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 19, 2021 amesema kumiliki silaha kuna sheria zake  na endapo ukizikiuka,  hatua za kisheria zitachukuliwa ikiwamo kifungo cha miezi 12 au faini ya Sh1 milioni au vyote kwa pamoja.

Amesema kuwa sheria inamtaka mtu aliyepewa silaha awe nayo muda wote kwani wakati mwingine kuiacha nyumbani au kwenye gari ni tatizo kulina na sheria ya umiliki wa silaha hiyo.

Similar News:

 Job Opportunity at Prime Minister’s Office, Procurement OfficerAidha ametaja makundi yanayopaswa kumiliki silaha au bastola kuwa ni pamoja na kuwa Mtanzania, mwanadiplomasia, mtu wa kampuni ya ulinzi, au mtu mwingine yeyote lakini mwenye akili timamuJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz