Kajala Achafukwa Afuta Tatto ya Harmonize - EDUSPORTSTZ

Latest

Kajala Achafukwa Afuta Tatto ya Harmonize

Ile tattoo iliyokuwepo shingoni kwa muigizaji Kajala iliyokuwa na herufi 'H', ambayo ni herufi ya kwanza ya jina la Ex wake, msanii wa Bongo fleva Harmonize imefutwa na mwanadada Kajala badala yake ameweka ua zuri lenye rangi nyekundu.
Binti wa muigizaji huyo aitwae #Paula ame-share video ya tukio hilo kupitia instastory yake. Awali tattoo ya Kajala ilikuwa na kofia ya kifalme, huku katikati kukiandikwa herufi H, na chini ilikua na alama ya karata ya jembe.

Kajalafrida anakamilisha hilo leo ikiwa Harmonize alianza kuifuta tattoo ya Kajala miezi miwili iliyopita ambapo Harmonize ile herufi 'K' aliiongezea maneno yanayo someka 'Konde Gang'.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz