Jay-Z Alimshirikisha Blue Ivy kwenye Wimbo Wake Akiwa na Siku Mbili Pekee Baada ya Kuzaliwa, Sauti ya Kichanga Inasikika - EDUSPORTSTZ

Latest

Jay-Z Alimshirikisha Blue Ivy kwenye Wimbo Wake Akiwa na Siku Mbili Pekee Baada ya Kuzaliwa, Sauti ya Kichanga Inasikika



Jay-Z alimshirikisha mwanaye Blue Ivy kwenye wimbo wa GLORY akiwa na siku mbili pekee baada ya kuzaliwa. Sauti ya Blue Ivy akiwa kichanga inasikika kwenye Autro ya wimbo huo akiwa analia. Jay-Z aliachia rasmi wimbo huo January 17, 2012 ikiwa ni siku 10 tangu Blue ivy azaliwe.

Billboard walisema Blue Ivy ameweka rekodi ya kuwa mtu mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea kwenye chart za Billboard Hot 100. GLORY ilichumpa (debut) hadi nafasi ya 74 ikiwa ni ndani ya wiki moja tangu iachiwe.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz