Breaking: Ajali Yateketeza Maabara Sekondari ya Geita - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Ajali Yateketeza Maabara Sekondari ya Geita
AJALI mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Jumatano, Julai 7, 2021, baada ya moto kulipuka katika jengo la maabara ya Biology katika Shule ya Sekondari Geita (GESECO) mkoani Geita na kuteketeza jengo hilo na vifaa wanafunzi vilivyokuwemo ndani yake.Ajali hiyo imetokea ikiwa ni siku moja tu baada ya kuibuka moto kwenye chumba cha kuhifadhia vifaa vya wanafunzi katika shule hiyo. 

Hakuna maafa ya vifo au majeruhi walioripotiwa kutokana na ajali hiyo. Hata hivyo wanafunzi wachache walikuwa wamelala katika mabweni yao wakati tukio hilo likitokea wakati wengi wao bado hawajarejea kutoka likizo. 

Aidha, Jeshi la Polisi Kikosi cha Zimamoto wapo eneo la tukio lakini bado hawajatoa tamko lolote kutokana na ajali hiyo, hivyo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijaelezwa wala hasara iliyosababishwa na moto huo.

Taarifa Zaidi kutoka eneo la tukio, endelea kuwa karibu na #GlobalPublishersUpdates na Global TV Online.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz