"Bora Nifanye Kazi Konde Gang Kuliko Benki" - AT - EDUSPORTSTZ

Latest

"Bora Nifanye Kazi Konde Gang Kuliko Benki" - AT

Mfalme wa muziki wa mduara Ally Tolu AT amesema ni bora afanye kazi kwenye lebo ya Kondegang Worldwide kuliko kufanya kazi Benki kwa sababu Kondegang wanamuheshimu na wanamsapoti kwenye kazi zake.

AT anasema hajasainiwa Kondegang ila ni mwanafamilia wa lebo hiyo muziki na kazi zake zitakuwa zinahusisha Kondegang kwa asilimia 95.

"Mimi sijasainiwa Konde Gang lakini ni mwanafamilia kazi zangu nafanya nawahusisha wao kwa asilimia 95, acha niwaambie ukweli kwa mimi ni bora kufanya kazi na Konde gang kuliko kufanya kazi Benki" amesema AT Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz