Barakoa Lazima Mechi ya Simba na Yanga Kigoma - EDUSPORTSTZ

Latest

Barakoa Lazima Mechi ya Simba na Yanga KigomaKatika kupambana na maambukizi ya #COVID19, watakao ruhusiwa kuingia Uwanja wa Lake Tanganyika Mkoani Kigoma ni Mashabiki 17,000

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema kila atakayeingia uwanjani lazima awe amevaa barakoa na kutakuwa na mapipa ya maji nje ya uwanja ili wanaoingia wanawe mikono

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz