Baada ya Kuzalishwa na Kuachwa Solemba, Poshy Qeen Awashukia Wanaume - EDUSPORTSTZ

Latest

Baada ya Kuzalishwa na Kuachwa Solemba, Poshy Qeen Awashukia Wanaume


Mwanadada Mwenye Muonekano Mzuri Hapa Tanzania (poshyqueeen ) Ameonyesha Kuchukizwa Na vitendo Vya Wanaume Wengi Wanavyo wafanyia Wanawake Hasa Kuwazalisha Na kuwaacha.

"Mda Mwingine Unaamua Kumzalia Mwanaume Kwa Sababu amekuonyesha Mapenzi Ya Kweli Kwako Ila Ukisha Mzalia Tuuu Mambo Hubadilika Kabisa, Kweli Nimeamini Wanaume Ni wapu*mbavu Sana"-Ameongea
-
Ikumbuke tuuu kuwa Poshyqueeen kwa Sasa Yupo Single Baada ya kuzalishwa na Kuachwa Njia Panda Kajifunza Jambo.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz