Umber Lulu "Nilimpoteza Mama Nikiwa na Miaka 17, Baba Ameanza Kunitafuta Baada ya Mimi Kuwa Msanii" - EDUSPORTSTZ

Latest

Umber Lulu "Nilimpoteza Mama Nikiwa na Miaka 17, Baba Ameanza Kunitafuta Baada ya Mimi Kuwa Msanii"


Nilimpoteza Mama yangu nikiwa na Umri wa Miaka 17 

''Baada ya Mama kufariki nilihangaika kumtafuta Baba ili angalau akaone kaburi la Mama lakini hajawahi kwenda na hajui alipozikwa Mama, hanijali anapiga simu kuomba pesa tu na Alinitafuta baada ya mimi kuwa msanii'' @iamamberlulu





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz