Sister P "Wanaume Walikuwa Wananiogopa Walizani Mimi Muhuni Mwenzao" - - EDUSPORTSTZ

Latest

Sister P "Wanaume Walikuwa Wananiogopa Walizani Mimi Muhuni Mwenzao" -

Kutokana na style ya kuwa na swaga na kuvaa mavazi ya kiume msanii Sister P amesema baadhi ya wanaume walikuwa wanaogopa kumfuata kwa sababu walijuwa atawazingua au kuwapiga ngumi.

"Mimi ni mgumu kwa hiyo tangu zamani watu walikuwa wanaogopa kunifuata, walikuwa wananichukulia kama muhuni mwenzao, nahisi walikuwa wanajua wakinifuata naweza nikawapiga hata ngumi"

Pia ameongeza kusema "Watu wananishangaa ninavyovaa ila nina bahati hata wapenzi wengi ambao huwa nawapata huwa wanataka nibaki hivi, lakini sasa hivi hata watu niliokuwa nawaheshimu wananitongoza kitu ambacho sikipendi".Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz