Shirikisho la Soka Ulaya #UEFA leo Juni 24, 2021 limetangaza kuifuta sheria ya goli la ugenini - EDUSPORTSTZ

Latest

Shirikisho la Soka Ulaya #UEFA leo Juni 24, 2021 limetangaza kuifuta sheria ya goli la ugenini


Shirikisho la Soka Ulaya #UEFA leo Juni 24, 2021 limetangaza kuifuta sheria ya goli la ugenini kutumika kwenye mashindano ya vilabu kuanzia msimu wa 2021/22

Kama ikitokea timu ziko sare kwa matokeo basi zitacheza dakika 30 zaidi na zikiwa hazijafungana zitaingia kupiga mikwaju ya penati






Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz