Mwalimu Mkuu Apigiliwa Msumari wa Nchi 4 Kichwani, Kisa Kizima Hichi Hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwalimu Mkuu Apigiliwa Msumari wa Nchi 4 Kichwani, Kisa Kizima Hichi Hapa

Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na Polisi kwa kumpigilia msumari wa inchi nne Mkuu wake wa shule.

Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh. 150,000, ambapo imedaiwa mwanafunzi aliomba muda zaidi wa kulipa kiasi hicho.

Baada ya kutoelewana mwanafunzi alimvizia Mkuu wa Shule na kumgongelea msumari wa inchi nne kichwani ambaye kwa sasa amewahishwa hospitali kwa matibabu.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz