Mbunge Atoa MPYA..Apendekeza Bodaboda Wafungiwe Leseni zao - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mbunge Atoa MPYA..Apendekeza Bodaboda Wafungiwe Leseni zao

 


Mbunge wa Viti Maalum Neema Lugangira, ametoa pendekezo kwa serikali kuhusu faini ya bodaboda na bajaji kwamba waweke mifumo kwenye leseni za madereva hao utakaoruhusu dereva kulipa faini kwa makosa mawili pekee na akitenda kosa la tatu basi afungiwe leseni yake. um Neema Lugangira


Kauli hiyo ameitoa leo Juni 23, 2021, wakati akitoa mchango wake katika muswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2021, na kuongeza kuwa serikali isiache faini ya shilingi 10,000 pekee kwa bodaboda ama madereva bajaji bali iweke na mfumo wa kuwawajibisha huku lengo likiwa ni kulinda maisha ya watumiaji wa usafiri huo pamoja na bodaboda wenyewe.

"Kuhusu faini za bodaboda ningependa kupendekeza kwa serikali ije na mfumo wa kuweka 'point system' kwenye hizi leseni kwamba huyu mwendesha bodaboda au bajaji akifanya kosa la kwanza na la pili alipe 10,000, akifanya kosa la tatu kulingana na ile point system leseni yake ifungiwe kwa kufanya hivyo tutalinda watumiaji wa zile pikipiki na maisha yao wenyewe tusiache hii faini ya elfu 10 pekee yake,"amesema Mhe. Neema LugangiraJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz