Maskini Steve Nyerere Akosa Ukuu wa Wilaya...Juma Lokole Amuombea Steve Nyerere cheo - EDUSPORTSTZ

Latest

Maskini Steve Nyerere Akosa Ukuu wa Wilaya...Juma Lokole Amuombea Steve Nyerere cheo

 


Mtangazaji Juma Lokole amuombea Steve Nyerere cheo ni baada ya jana Rais Samia Kutangaza Safu mpya ya wakuu wa wiliya ambayo pia ilijumuisha baadhi ya wasanii kama Nikki wa Pili na Wengine

Lakini Jina la Steve Nyerere halikuwepo japo amekitumikia Chama kwa Muda Mrefu, Sasa Mtangazaji Juma Lokole ameibuka na Kumuombea mazuri, Soma Hapo Chini Alichoandika
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz