Mange Kimambi Afunguka Baada ya Diamond Platnumz Kukosa Tuzo "Roho Inaniuma ila Tungehama Instagram" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mange Kimambi Afunguka Baada ya Diamond Platnumz Kukosa Tuzo "Roho Inaniuma ila Tungehama Instagram"


Reposted from @mangekimambi_ Kijana wetu kashindwa na Burna Boy😭😭😭. Lione li Burna sura bayaaaaaa 😏😏😏

Either way, he represented us well. Watakaomcheka hawana akili wote maana sio Diamond kashindwa ni Tanzania imeshindwa 😭😭.

Aisee mi mzalendo mnooo, roho inaniuma kuwa tumeshindwa. Najua angetukosesha amani, yani tungemkoma yeye na watu wake, yani ingebidi tuhame insta kwa muda jinsi ambavyo tungenyanyasika🤣 ila still roho inaniuma tumeikosa tuzo 😭😭😭😭

Ila wanaigeria wachawi mnooo, mtu alienda mpaka na mamake mzazi kama sio maelekezo ya mganga nini? 😩😩
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz