Majambazi Wateka Basi na Kuwaibia Abiria - EDUSPORTSTZ

Latest

Majambazi Wateka Basi na Kuwaibia AbiriaBasi la abiria lenye Namba za Usajili T 116 BHD mali ya kampuni ya Scorpion lililokuwa likitokea mkoani Shinyanga kuelekea Kasulu mkoani Kigoma lilitekwa na majambazi na abiria wakaporwa vitu vyao

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Kamishna Msaidizi wa Polisi James Manyama amesema tukio hilo limetokea katika pori lililopo jirani na Kambi ya Wakimbizi ya Nduta
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz