Katiba Mpya, Mikutano ya Kisiasa Nipeni MUDA Nijenge Uchumi - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Katiba Mpya, Mikutano ya Kisiasa Nipeni MUDA Nijenge Uchumi

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kumpa muda wa kushughulikia masuala ya uchumi kabla ya kutazama masuala mengine ya katiba na mikutano ya kisiasa.

Rais Samia ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini Tanzania ambao amekutana nao Ikulu ya Dar es Salaam.

Amewaomba Watanzania apewe muda kwanza ili kuisimamisha nchi kiuchumi kisha atashughulikia masuala mengine.

”Naomba nipeni muda kwanza nisimamishe nchi kiuchumi, tuite wawekezaji wawekeze, ajira zipatikane, halafu tutashughulikia masuala mengine.”

”Tutashughulikia katiba, tutashughulikia mikutano ya hadhara, wakati ukifika.” Alisema Rais Samia.

Hata hivyo amesema sasa wanaruhusu vyama vya Siasa kufanya mikutano na watu wao, mikutano ya ndani, kamati kuu zinakaa, Halmashauri kuu za vyama vya siasa vinakutana.

Sambamba na hilo wameruhusu pia wabunge kwenye maeneo yao kufanya mikutano ya hadhara.

”Uchumi wetu ni suala la maana zaidi kuliko mengine, sisemi kwamba katiba si ya maana, lakini ninaomba nipeni muda, niisimamishe Tanzania kiuchumi kwanza halafu tutatazama na mengine. Alifafanua Rais Samia.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz