Kajala na binti yake Paula kuja na reality show - EDUSPORTSTZ

Latest

Kajala na binti yake Paula kuja na reality show
Kupitia ukurasa wake wa Instagram @kajalafrida ameandika na kuutaarifu umma kuhusu ujio wa reality hiyo ambayo itamuhusisha yeye na binti yake @therealpaulahkajala #Mom and Daughter #LikeTwins ✅

Reality Show ambayo itakuwa inaonyesha maisha yao binafsi ingawa bado hajaweka wazi itakuwa inaruka Kupitia Tv gani (Kituo kipi) 
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz