Jeshi la polisi lamshikilia House boy anaedaiwa kuua Mama na watoto wake - EDUSPORTSTZ

Latest

Jeshi la polisi lamshikilia House boy anaedaiwa kuua Mama na watoto wake

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Shadrack Kapanga mwenye miaka  (34), Msaidizi wa kazi za ndani (House boy) kwa kosa la kuwauwa wanafamilia.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema June 11, 2021 majira ya 17:00hrs walimkamata mtuhumiwa Kapanga kwa tuhuma hizo. 

Wanafamilia hao waliouawa ni EMILLY MUTABOYERWA (Mama) na wanae DANIELA MUTABOYERWA (15) na DAMITA MUTABOYERWA (13) huko maeneo ya Masaki mtaa wa Maryknol nyumba Na.1224 wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz