Hatimaye Tundu Lissu Akanusha Kutaka Kulipwa Madai yake na Serikali - EDUSPORTSTZ

Latest

Hatimaye Tundu Lissu Akanusha Kutaka Kulipwa Madai yake na Serikali


Baada ya habari kuanza kusambaa katika mitandao ya kijamik ikionyesha serikali inadhamila ya kuwalipa baadhi ya watumishi ambao wanadai madai yao hasa kutoka ofisi ya spika na karatasi ikionesha ni kama imetoka wizara ya fedha na ikitakaja baadhi ya waliokuwa wabunge akiwepo Tundu Lissu.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz