Dada wa Dulla Makabila "" Ugomvi wangu na Dulla Makabila ulianza Pale Alipomuacha Mwarabu - EDUSPORTSTZ

Latest

Dada wa Dulla Makabila "" Ugomvi wangu na Dulla Makabila ulianza Pale Alipomuacha Mwarabu

 


" Ugomvi wangu na @dullamakabila ulianza Pale alipomuacha Mwarabu . Kwasababu aimtambulisha Kwetu na kudai Pale ndio amefika na mimi nikamuonyesha mahaba yote . Sasa alivyomuacha ikabidi nimwambie kua anachofanya sio sahihi " - @amina_vikoba (Dada wa Dulla Makabila )

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz