Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kucheza pamoja - EDUSPORTSTZ

Latest

Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kucheza pamoja

 RAIS wa Barcelona, Joan Laporta ana ndoto ya kuwakutanisha nyota wa Juventus, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi msimu ujao wa 2021/22 Barcelona na yupo tayari kutoa ofa ya wachezaji wawili katika juhudi za kuwashawishi mabosi wa mchezaji huyo raia wa Ureno.
 Licha ya kwamba mpaka sasa taarifa rasmi haijatolewa lakini Laporta anadaiwa kuwa na mpango wa kuwatoa wachezaji wawili ndani ya Barcelona kwenda Juventus.

Wachezaji ambao wanatajwa kuwa kwenye hesabu ya kutolewa ni pamoja na Griezmann, Sergi Roberto na Coutinho.

Nyota hao wote wawili, Messi na Ronaldo ni wachezaji wakubwa ambao wamekuwa wakishindana katika mafanikio ndani na nje ya uwanja. Msimu uliopita ndani ya La Liga, Messi alitupia jumla ya mabao 30 na mshikaji wake Ronaldo ndani ya Serie A alitupia mabao 29.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz