Clouds FM Watoa Wakuu Wawili wa Wilaya Mkeka Mpya wa ma DC - EDUSPORTSTZ

Latest

Clouds FM Watoa Wakuu Wawili wa Wilaya Mkeka Mpya wa ma DC



Familia ya Clouds Media Group imepata bahati ya kuonwa na Mheshimiwa Rais Mama @samia_suluhu_hassan kwa kuwateua ma DC wawili ambao ni Hassan Ngoma na Simon Simalenga
Simon Simalenga ameteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Songwe.
Na Hassan Ngoma ameteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Ruangwa.
.
.
.
UNADHANI KWANI MWIJAKU HAJATEULIWA??




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz