Breaking: Watu 7 Wafariki Kwenye Ajali Moro Picha - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking: Watu 7 Wafariki Kwenye Ajali Moro Picha

Watu watano wamefariki kwenye ajali iliyotokea usiku wakuamkia leo Juni 22, 2021 eneo la nanenane mkoani Morogoro na kuhusisha magari matatu ambayo ni Basi dogo aina ya Toyota Coaster, Lori na gari dogo aina ya Toyota Cresta. 

Kamanda wa Polisi Morogoro Fortunatus Muslim amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa Dereva wa Coaster kutaka kuyapita magari yaliyopo mbele yake bila kuchukua tahadhari akitokea Dar es salaam kuelekea Mbeya kuzika akiwa amebeba mwili wa Marehemu pamoja na Abiria.Kamanda Musilimu amesema hadi sasa bado haijafahamika idadi ya majeruhi lakini miili ya wote waliofariki ambao ni Wanaume watatu na Wanawake wawili imepelekwa Hospitalini.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz