Faida Zitokanazo na Kumsamehe yule Aliyekukosea - EDUSPORTSTZ

Latest

Faida Zitokanazo na Kumsamehe yule Aliyekukosea


 Ni vema kuanzia sasa kuamua kubadilika kwa kuhakikisha kwamba hubebi vinyongo vya aina yeyote ile ndani mwako. Unapaswa kusamehe wale wote wanaokukosea kwa sababu:


Msamaha ni kuondoa uchungu wote ulioumbika ndani ya moyo wako kwa hiari yako mwenyewe.

Hivyo, unaposamehe unarudisha uhusiano wa awali uliovunjika. Msamaha sio wa mwisho wa mwaka jamani, msamaha ni tunu ya kila siku kwa maana hujui siku ya kufa kwako.

Tunaposamehe ndugu zangu tunajenga afya njema. Hii ni kwasababu, Uponyaji wa kweli huanzia moyoni. Kama mtu anasamehe kutoka moyoni basi huo ni msamaha wa kweli.

Watu hawataki kusamehe ndio maana wengine afya zao ni dhaifu. Uchungu ulio umbika ndani ya moyo una endelea kuwa tafuna.
Nasaha, "Usizeeke kabla ya wakati kwa ajili ya kuto kusamehe watu wengine".


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz