Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni ... - EDUSPORTSTZ

Latest

Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni ...
Pata GB 10 Mtinadao yote BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX tu au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).
(NB: Si wote)
.
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe
Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi na wewe tena mkadumu kwa muda mrefu lakini asikuoe. Lakini akampata mtu mwingine akamuoa hata kama mahusiano yake na mtu huyo yalikuwa ya miezi miwili.
.

Wanaume wengi hutizama mbali zaidi pale wanapotaka KUOA. Huwa hawafikirii habari za suti kali za harusi na sherehe ya gharama, vitu ambavyo hufikiriwa zaidi na sisi wanawake kila tunapoiwaza ndoa.
.
Wanaume huwaza, iwapo mwanamke huyu anaweza kuijenga familia bora, anaweza kuwahudumia watoto vizuri wakakua katika maadili na malezi mazuri, Hatanipa stress huko mbeleni, hatanisumbua katika masuala ya tendo la ndoa?
.
Wanaume wanaotaka kuoa huwa hawapendi wanawake wanaowapa mawazo, ndio maana wengine hukaa muda mrefu kwenye mahusiano lakini unajifikiria bila sababu ya msingi anakuja kuoa mtu amekaa nae kwa miezi miwili.
Ni ile utafutaji wa AMANI YA NAFSI.
Sex is a pleasure, love is an affection, RESPECT is Stability.
Japo najua si wote wengine ni kinyume chake.
#MahusianoYaSasa soon.....

Pata GB 10 Mtinadao yote BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz