Nguzo Imara za Kudumisha Mahusiano - EDUSPORTSTZ

Latest

Nguzo Imara za Kudumisha Mahusiano

[WAKUBWA TU 18+ PAKUA APP YA UTAMU KITANDANI UJIFUNZE MAMBO YA CHUMBANI NA UTUNDU WA MAPENZI BONYEZA HAPA]

 
Mwanzo  wa Mahusiano Msidanganyane

(a)Mwambie mwenzi wako ukweli. (b)Mwambie yale unayopenda na usiyopenda. (c)Kuwa muwazi kwa mwenzi wako. (d)Onyesha upo tayari kuachana na mambo yote uliyokuwa umeyazoea ambayo kwa sasa yanaweza bomoa uhusiano wenu.

[WAKUBWA TU 18+ PAKUA APP YA UTAMU KITANDANI UJIFUNZE MAMBO YA CHUMBANI NA UTUNDU WA MAPENZI BONYEZA HAPA]


Mfanye Mwenzako Ajisikie ni wa Muhimu
 (a)Tenga muda maalumu wa kuwa naye. (b)Onyesha unafurahia uwepo wake. (c)Mnapozungumza jambo onyesha umakini kwa kumsikiliza na kuacha kila kitu. (d)Usijifanye unajua kila kitu na kwamba yeye hajui. (e)Hata anapokosea mwonye tu na kumuelekeza kwa upendo.

Usifanye Mambo Kwa Mazoea
 (a)Kila siku ona ni fursa mpya ya kufanya jambo kwa ajili ya koboresha uhusiano wenu. (b)Mfanyie jambo jipya ambalo hategemei kwamba utamfanyia. (c)Usifanye jambo litakalomfanya ajione hana thamani tena kwako.

Usipende Kushikilia Mambo Kwa Mda Mrefu Bila Kusamehe 
Anapokosea mweleze kwa upendo na umwambie umemsamehe. Usiwe mtu wa kurudiarudia mambo kila anapokosea unakusanya makosa anapokosea tena unamkumbusha.

Kumbuka Aliwaacha Wengi Akaamua Kuwa na Wewe
 Sasa usijifanye wewe ni mjanja kuliko wote. Mwonyeshe yeye ni wa kipekee. Usipende kila wakati kuelezea mambo ya mpenzi wako wa zamani.

Onyesha Hisia Za Kweli Kwake
 Kumkumbatia mnapokuwa faragha. Kumbusu na kumwambia maneno matamu,wengine husema maneno yanayovunja mifupa. Mfano:Nakupenda wewe tu mpenzi wangu,hakika siwezi kukuacha mpenzi wangu, Unaniweza wewe tu mahabuba.

Mtosheleze 

Husika na mahitaji yake ya kimwili na kihisia. Hakikisha anajisikia vizuri anapokuwa kwa kumtimizia mahitaji yake ambayo una uwezo nayo yale usiyoweza shaurianeni. Jambo analolipenda lipe kipaumbele. Tendo la ndoa au mapenzi yafanyike kwa usahihi na kwa kutoshelezana. “Watu wengi  wakishazoeana tu wakazaa watoto basi wanaona  tendo la ndoa siyo jambo la muhimu ni swala la dharura,na ndio utapata malalamiko mengi kwa wanandoa ama wapenzi wakisema zamani tulikuwa vizuri ila sasa amebadilika.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz