Mambo 10 ya kuepuka kwa kijana Ambaye Hujaoa. - EDUSPORTSTZ

Latest

Mambo 10 ya kuepuka kwa kijana Ambaye Hujaoa.


JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA


 Wanasema ujana Ni maji ya Moto, wengine wanasema chezea ujana fainali uzeeni lakini vitabu vitakatifu vinasema “mkumbuke Mumbai wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku mbaya machoni pako”.

Na Mimi nasema ujana Ndio maisha yenyewe ambayo mtu huishi kwa faida

Na pia nasema kwenye kundi la ujana Haya Ni Mambo ya muhimu kuepuka sana.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA

1. Kwa gharama yoyote na kwa ushawishi wowote epuka kutembea na mke wa mtu. 

Kutembea na mke wa mtu Ni dosari kubwa Sana na inaweza kuharibu ujana wako haraka Sana. Hapa pia namaanisha epuka ukaribu na urafiki usio na sababu na wake za watu. Urafiki na wake za watu huwa Ni chanzo Cha wao kukuelezea Mambo yao ya ndani wakati wa stress na kukushawishi uvunje amri ya sita.

Alinihusia babu yangu kuwa ukithubutu kutembea na mke wa mtu, Kuna uwezekano ukishindwa kuoa kabisa.. mke wa mtu muone Kama sumu. Sumu huwa hionjwi Wala kujaribiwa. Sumu huepukwa na kifichwa mbali kabisa.

2. Epuka Sana wanawake wa kununua. 
Ni warahisi Sana kupata ila madhara yao kwenye maisha huwa Ni makubwa Sana. Kwa swala la gharama unaweza kuwa salama matokeo yake huwa mabaya Sana. Wanaharibu mwili na roho na unabaki Kama mnyama. Lakini pia kununua mwanamke Ni sawa na kuhalalisha mtoto wako wa kike afanye pia Jambo Hilo. Tunasema Jambo likiwa baya na ukalichukia na kuliona baya usilishiriki.

3. Epuka mafanikio ya wizi na haraka bila kutumia njia sahihi. 
Maendeleo yoyote Yale Ni hatua na hayaji Kama muujiza. Nina rafiki yangu sababu ya tamaa kafukuzwa kazi kwenye benki kubwa hapa nchini. Alipewa kitengo nyeti Cha afisa mikopo Yeye kaona Ni mahali pa kupigia. Sisi Kama vijana tunatakiwa kujifunza kufanya kazi kwa uadilifu huku tukijiongeza kwenye miradi mingine ya kuongeza vipato vyetu kwa njia halali

4. Epuka kufanya chumba chako dangulo la wahuni au masela. 
Wapo watu Wana maisha ya kisela sela tu mpaka miaka 35 hashtuki. Yeye Ni kubadilisha wanawake kutwa mara mbili na mbaya zaidi Kama umempangisha unaogopa hata namna ya kuficha watoto. Mara kaleta majamaa zake kufanyia Mambo yao kwake. Kama kijana kumbuka wanawake Ni wale wale na sehemu zao zile zile. Hamna mwenye sehemu za dhahabu.

Ifundishe akili yako kuvumilia na vishinde vishawishi.mahusiano imara huwa yanategemea saikolojia yako umeiwekaje na umeutisha moyo wako na mwili wako kuishinda tamaa. maisha unayokwenda nayo yanaweza kukurudi siku moja. Lakini pia unabeba magonjwa mengine hata kupima hatuwezi hapa nchini na kuyapeleka kwa mke wako mtarajiwa.

5. Naamini uwekezaji Ni wakati wa ujana. 
Acha kuharibu pesa hovyo..wekeza wekeza wekeza na furahia faida na hasara jifunze. Unaweza kupata hasara Mara kumi lakini ipo siku biashara moja inaweza kufuta hasara zote ulizopata. Acha kuwekeza kwenye pombe na viuno.

6. Waangalie Sana marafiki zako. 
Ni wa kutumia tu na kuzalisha. Nimewahi kuinterview Sana Wala ngada au madawa ya kulevya. Ukifuatilia Sana utakuta kundi fulani la marafiki lilimuingiza huko. Bahati mbaya kuingia Ni rahisi ila kutoka Ni taabu Sana.


7. Hili Ni muhimu Sana. Kama kijana kamwe usidharau ama kubeza utu wako. 
Wala asitokee mtu kwa cheo chochote au maarifa yoyote anabeza na kudharau utu wako. Kwa njaa, kwa raha, kwa siasa au cheo thaminj Sana utu wako. Hatuwi na tofauti na wanyama pale tunapoondokewa na thamani ya utu. Hapa hasa kwenye siasa na utafutaji

8. Epuka uvivu na vitu vinavyopoteza muda bila sababu. 
Umasikini sio laana Bali Ni mipango ya mtu binafsi. Mtu anaangalia maseries mengiii lakini hawezi hata kufungua kibanda Cha kuuza maji usiku hapa dar.

9. Achana na maisha ya kisanii. 
Ni upuuzi kuchukua mkopa na kwenda kununulia muziki wa milioni tano wakati huna mradi wowote. sio mbaya kuwa na vitu vizuri lakini wekeza kwanza ndio faida nunulia hivyo vitu.

10. Epuku u Mario na Serengeti boy. 
Usibweteke kusifiwa na majimama eti wewe handsome. Hao majimama yametumia ujana wao wote na hakuna walichobakiwa zaidi ya kutumia pesa yao kukumaliza. Wala hawanaga uchungu na maisha yako. Wanachotaka Ni kustarehesha miili yao kwa kukutumia wewe. Kimbia hao watakuharibu. Wengi mioyo yao ina ganzi. Kijana pambana na umasikini na leta mchango chanya kwenye jamii..maisha ya dezo kwa mwanaume hayafai na yakatae.

JIUNGE NA GROUP LA WAKUBA HAPA 18+ HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz