Maisha ya MAHUSIANO yanahitaji umakini wa kuulinda MOYO kuliko MWILI👣 - EDUSPORTSTZ

Latest

Maisha ya MAHUSIANO yanahitaji umakini wa kuulinda MOYO kuliko MWILI👣Unapokuwa unashiriki MAPENZI na Mtu ambaye ni Mke ama Mume wa Mtu tambuwa mambo haya;
PENZI SIO LA KUDUMU.
WAKIRIDHIANA NA MWENZA WAKE HUNA CHAKO TENA.
Kwa sababu Mtu yeyote anapokuwa anachepuka maana yake anajaribu kutafuta AMANI nje ya ndoa yake, wakati huo huo NDOA IPO IMARA pamoja na mapungufu yake, Kwamba kama angekuwa haitaki NDOA asingelala na wewe n then akarudi kule kule anakosema HAPANA AMANI.
Ukiona Mtu yupo na MUME/MKE na akakuambia kwamba ANAKUPENDA kubali kwa mdomo ila MOYONI USIKUBARI kwa sababu hata yeye MOYONI ANAKUDANGANYA ila kwa mdomo anajaribu kukusogeza kwa MASLAHI YAKE na Mtu huyo ni MBINAFSI.
Kwamba ameona kwenye ndoa yake yapo MAPUNGUFU kadha wa kadha akawa anajaribu kutafuta RELIEF kitu ambacho baadaye kitakugharimu wewe kwa sababu penzi la ulaghai ni TAMU.
Ukiambiwa unapendwa na ukajitazama kwamba mwenye MKE/MUME yapo anayokuzidi utajiona wa maana sana na kumbe UNAPAKWA UJI NA NJAA YAKO NI KALI😅
Penzi la MCHEPUKO haliishi milele ila linaweza kudumu kwa kuzingatia mambo haya;
NDOA YAO IKIENDELEA NA MIGOGORO.

[WAKUBWA TU 18+] PAKUA APP YA UTAMU KITANDANI UWEZE KUFAIDI MAMBO YOTE YA CHUMBANI BONYEZA HAPA.
UFANYAYO WEWE KWENYE NDOA HAYAPO.
Pamoja na Mengine ambayo kwa hakika YANAMPA AMANI huyo aliyechepuka kwenye ndoa yake, Mimi naongea na wewe unayedhani kwamba UNAPENDWA kuliko MUME/MKE halali, Usiwazie mambo ambayo leo yanakupa USHINDI na baadaye yatakuingiza kwenye MAUMIVU penzi ni penzi na kwa MUDA MTAKAOKUWA PAMOJA KUNA AMBAYO YATAWAJENGEA MAZOEA je unafikiri Kwanini hutaumia ukiachwa na Mwenzio akairejea NDOA yake? Fikiria zaidi baadaye itakuwaje ili uuandae moyo wako na YATAKAYOJIRI kwa sababu MWENZIO hata ukimtengenezea memory kubwa kiasi gani ila kumbuka LILILOMFANYA AKACHEPUKA ni stress za NDOA yake hivyo kule ndani ya ndoa kukiimarika kwake ni NEEMA kwa sababu Mtu anayechepuka maana yake NDOA YAKE ANAIPENDA PAMOJA NA MADHAIFU YAKE ila maudhi yalimfanya kutafuta PLAN B
Kwa hiyo mtu wa aina hiyo hata MKIACHANA hawezi kuumia kwa lolote labda kama kule ndani kukifuka MOTO🔥 anaweza kurudi mara nyingine lakini naomba ujue kinachomtangisha mtu wa aina hii ni kimoja tu;
HAPENDI MAUMIVU YA MAPENZI.
Kwa ufupi ni MBINAFSI na unaweza kukuta Matatizo anajitafutia mwenyewe ila ni mwoga wa kukabiliana na changamoto, Hajui kuomba SAMAHANI ila anapenda kuombwa SAMAHANI PAMOJA NA KUNYENYEKEWA watu wa aina hiyo hawatuliagi kwenye NDOA zaidi wanaishia KUCHEPUKA na mbaya zaidi kuumiza PANDE ZOTE MBILI Yaani wewe utaumia ki vyako, Na mwenye ndoa yake ataumia ki vyake, UNADHANI KUNA JIPYA KWA MTU WA AINA HIYO? Ukiisha kuwa MSALITI kamwe ni ngumu kuacha, Kwani tayari kilichokusababisha ukasaliti KITADUMU MILELE😎
Pengine ni maumbile, Ni tabia ya mtu ndiyo iliyomfanya AKASILITI swali je hayo madhaifu ATAYAFUTAJE ILI AIONE NDOA YAKE NI SAFI?
Zaidi ni wewe uliyedandia PENZI la MKE/MUME wa Mtu ndiye utakaye kuwa MHANGA.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz