-->

Type something and hit enter

On
 Tikiti maji ni moja kati ya matunda muhimu sana katika afya yetu


Tunda hili ni moja ya chanzo cha protini, fati ,Nyuzinyuzi ( fiber ) , Calcium, Phosphorus, Iron, Vitamin A, B6, C. Potasium, Magnesium, Carotene, n.k

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Zifuatazo ni faida 10 za kula matikiti maji katika afya yako :


Faida 10 za tikitimaji
1.Hupunguza magonjwa ya moyo

2. Huondoa sumu katika mwili

3. Huzalisha nishati katika mwili

4. Huzuia kansa

5. Husafisha figo

6.Husaidia kupunguza shinikizo la damu

7. Asilimia 92 la tunda hili ni maji

8. Husaidia kupunguza uzito

9. Husaidia kudumisha afya ya macho

10. Husaidia kuponesha vidonda.

Click to comment
 
Blog Meets Brand