ZIFAHAMU SHANGA NA MATUMIZI/UMUHIMU WAKE KWENYE TENDO LA NDOA - EDUSPORTSTZ

Latest

ZIFAHAMU SHANGA NA MATUMIZI/UMUHIMU WAKE KWENYE TENDO LA NDOA


Shanga zimeanza kuvaliwa tokea zamani na kipindi hicho nahisi zilikuwa zinavaliwa kwa sababu ya urembo zaidi,au zilikuwa zinavaliwa kama sehemu ya mavazi ya mwanamke wa kiafrika lakini sidhani kama zilikuwa zinavaliwa kwa ajili ya mambo ya kupeana Ra-ha na Utramu.Ili kuepusha Post isiwe Ndefu sana ukachoka kuisoma,nikaona itakuwa jambo la busara nikimix Umuhimu na Jinsi ya kuzitumia kuliko kuelezea mara mbili,kwa hiyo zifuatazo ni sababu,umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga za kiun0ni wakati wa kupeana Ra-ha na Utramu;

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

1.UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO

Kuna baadhi ya wanawake wa siku hizi wanapenda kuvaa shanga kama urembo,na kusema kweli kiun0 cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongezeka mvuto,sio tu kwa wanaume hata kwa wanawake pia.Kama unavyoona picha ya hapo juu huyo dada kiun0 chake kilivyopendeza,hata chako kitapendeza pia.Kama Unatamani kujaribu,ondoa uoga,kanunue kisha na wewe uvae pia.


2.WENGINE WANAZIVAA KWA AJILI YA KUWAONGEZEA HAMU NA MZUKA WA KUKATA KIUN0WAKATI WA KUPE-ANA RA-HA NA UTRAAMU

Kwenye Ngoma za Asili au kwenye Sherehe utakuta baadhi ya wanawake wamevaa kitu kinaitwa kibwebwe(it is something like an african traditional girdle or bellyband that women wear around their waist for traditional dances or during fighting),wanavaa kibwebwe kwa ajili ya kufanya iwe rahisi kwao kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.Na kwa upande wa shanga,kuna Baadhi ya wanawake wanavaa kwa madhumuni hayo pia.Na pia wanasema sio tu zinawasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia zinaongeza mvuto mwanaume akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.


3.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU MWANAUME YA KUPATA RA-HA NA UTRAMU.

Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiun0 kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni barabarani au ndani ya Basi,Lazima mashine zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda.(talkin from experience since am a male too).Hata sielewi kwanini,kwa sababu ukimuona mwanamke amezivaa mkononi wala hutoweza kupata hisia za ajabu,lakini ukiziona zipo kiun0ni lazima upate hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli.

Soma Zaidi >>Roma Amfungukia Bernard Morrison

Kwa hiyo kama huna mazoea ya kuzivaa,na ulikuwa unapenda kufanya au kuongeza kitu kipya kwenye uwanja wenu wa kupeana Ra-ha na Utramu,basi nenda kanunue shanga,kisha uzivae ukiwa alone kwa ajili ya kumsuprise mpenzi/mume wako.Utajua kuwa anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa anapay ATTENTION kuzishikashika na kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana Rah-a na Utramu.


4.UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU KUTEGEMEANA NA RANGI ZAKE

Kuna Baadhi ya Wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia(either Mume,Mpenzi,Kimada etc).Mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika kama Mwanaume husika atakuwa anaelewa Maana ya hizo Rangi za Shanga,Zifuatazo ni Rangi za Shanga na maana yake;

Nyekundu, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyekundu,basi ujue yupo kwenye siku zake(hedhi/menstruation cycle).Kwa hiyo unaweza kumuuliza ili upate uhakika zaidi usije ukaingiza mashine yako ukaishia kujichafua.

Nyeupe, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi Nyeupe,basi ujue kuwa kwa muda huo,Hana Tatizo lolote litakalomzuia kukupa wewe Rah-a na Utramu,kwa hiyo upo free kufanya chochote na Mwili wake.

Nyeusi, Kama Ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyeusi,basi ujue kuwa yupo teyari kukupa Rah-a na Utramu lakini tatizo bado hajanyoa nywele zake za sehemu za si-ri,kwa hiyo unaweza kumnyoa kama kweli upo r0m-antic tena sana au ukaiacha siku hiyo ipite ili akanyoe baadaye au kama hamu zimekuzidia sana unaweza ukaendelea kama kawaida.

5.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUJIONGEZEA RA-HA WEWE MWENYEWE(MWANAMKE) WAKATI WA KUPEANA RAH-A NA UTRAMU

Kiun0 cha mwanamke kimeumbwa na hisia za kimahaba,na ndio maana ukikitomasa au ukikipapasa(when u caress it),lazima mwanamke apate Ra-ha na Utramu. Ukiwa unapeana Rah-a na Utramu na mwanamke aliyevaa Shanga,wakati wa kupashana joto(foreplay),usisahau kuzichezea shanga zake kiun0ni.

Kama style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike kiun0ni pake basi peleka mikono yako,chezea shanga kwa kuzipapasa(kuzicaress) kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda juu(au direction yeyote utakayopenda),ukifanya hivyo hizo shanga zake zitakuwa kama zinamtekenya(zinamtickle),na atapata Rah-a na Utramu wa kipekee sana.(jaribu kisha enjoy makelele na miguno ya kimahaba atakayokuwa anazidisha ili uendelee kufanya mwanzo mpaka mwisho).

N.B-Kama umezivaa ukaenda kazini,au kwenye biashara zako au ukatoka tu out,make sure unavaa nguo ambazo zitaficha shanga zako hata kama ukiinama mbele za watu,inaboa kuona shanga barabarani,kwenye daladala(matatu),maofisini n.k(etc)

Shanga ni Urembo special wa kuonekana chumbani ukiwa na mpenzi/mume wako,zinatakiwa zionekane na macho yake tu,zaidi ya hapo itakuwa sio ustaarabu jamani.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz