✍🏼ijue thamani yako kabla akutokea wakujuwa thamani yako♡♡♡♡♡
🖖🏼jitaidi kujali malengo yamaisha yako nakuweka akili yako kama tizamio la maisha yko yabadae
✊🏽epuka sana marafiki wa social network kuweza kujuwa maisha yako kiundani♡♡♡♥
Jifunze kukaa kmya hata kama jambo unalijuwa☆☆☆☆sababu unaweza kuongea jema nabado watu waka kutafsri vbya na waka leta rile urilo nena kwa manaaa watakayo wao♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♥♥☆
Lkn bila kusahu kuwa binadam siku zote sio watu wakuridhika♡♡♡♡uwa wanakuthamin pindi ukiwa nacho lakin muda wa matatizo kila mtu anatazama mambo yake♡♡♡♡♥♥♥♡♡♡☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆
Jifunze kuwa epuka watu wasio namaana katika maisha yako nawala usiwape mana yoyote juu ya maisha yako sababu bina dam sio mwenye kutosheka nadunia
```B official```✍🏼💥✌🏻
