ZAIDI YA 70% YA WANAWAKE HAWARIDHIKI KATIKA MAPENZI - EDUSPORTSTZ

Latest

ZAIDI YA 70% YA WANAWAKE HAWARIDHIKI KATIKA MAPENZI

ZAIDI YA 70% YA WANAWAKE HAWARIDHIKI KATIKA MAPENZI

Inawezekana hii ikakushangaza kidogo, lakini huu ndio ukweli. Idadi kubwa ya wanawake waliopo katika mahusiano hawaridhishwi katika tendo la ndoa

JINSI WANAWAKE HUCHANGIA KUTORIDHIKA KWAO

1. UVIVU WA KUMWANDAA MWANAUME

Wanawake wengi hudhani anayetakiwa kuandaliwa kabla ya tendo la ndoa ni mwanamke peke yake, la hasha! Wanaume pia wanahitaji kuandaliwa kabla ya tendo la ndoa.

Kumwandaa mwanaume kabla ya tendo la ndoa kunamuweka sawa kisaikolojia na kuwa tayari kwa tendo la ndoa.

2. KUTEGEMEA BAO LA KWANZA PEKEE
Ngoja niwaambie  bao la kwanza kwa mwanaume halidumu hivyo kama mwanamke unategemea uridhike na bao la kwanza basi inaweza kuwa mtihani kwako

⚡Bao la kwanza huchukua muda mfupi sana kutoka, kwa wastani dakika saba kwa wanaume wengi. Hivyo kuna uwezekano bao hili likatoka kipindi ambacho mwanamke ndio kwanza anaanza kuhisi raha ya tendo la ndoa.

Idadi kubwa ya wanaume hudumu muda mrefu zaidi wakitafuta bao la pili na idadi kubwa ya wanawake huridhika wakati wa bao la pili.

 3. KUTOKUWA MTUNDU WAKATI WA TENDO LA NDOA

Kuna mambo mengi sana ambayo humfanya mwanaume atamani kuendelea kufanya tendo la ndoa na wewe,

mfano ni sauti za mahaba wakati wa tendo la ndoa.

 ⚡Idadi kubwa ya wanawake hawatambui kuwa sauti za mahaba wakati wa tendo la ndoa husaidia kumtoa zaidi nyoka pangoni, unakuta kipindi chote mwanamke yupo kimya hadi inamkosesha morali mwanaume wake.

🌟Tambua, mapenzi ni utundu. Bila utundu basi hamu yote ya mapenzi hukata na baadhi ya wanaume huamua tu kumaliza na kupiga zao usingizi.

4. UELEZEA SHIDA WAKATI WA TENDO LA NDOA

Kuna baadhi ya wanawake unaweza kukata tamaa hata ya kuendelea na mechi.

⚡Unakuta wakati wa penzi ndio anaelezea shida zake zote, mara bebi kodi ya nyumba imeisha. Mara mpenzi, ujue simu yangu imeharibika nahitaji mpya, lile gauni zuri utaninunulia lini na baadhi ya kauli nyinginezo ambazo hugeuka kero kwa baadhi ya wanaume.

πŸ› πŸ› πŸ› MUDA WA PENZI NI MUDA WA RAHA, TAMKA MANENO YANAYOONGEZA RAHA NA SIO KUANZA KUMPA MAWAZO MPENZI WAKO.πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz