-->

Type something and hit enter

On
USICHELEWE KUMUONYESHA UPENDO WAKO WA DHATI ❤ YULE ALIEANDIKWA KWENYE NAFSI YAKO

AIBU NDIYO HUONYESHA UPENDO WAKO KWA MTU kwa kuuficha UDHAIFU wako tarajia kuonekana huna UPENDO WA DHATI  💕 na mwisho kabisa ni wewe kubakia MPWEKE kwa uzembe wako 😭

Onyesha UPENDO WAKO WOTE KWA YULE ULIYEMPENDA ili upokee AMANI moyoni mwako, Kumkosa uliyempenda ni HATARI sana lakini pia ni rahisi kukosa wa kumpenda duniani Kwani UPENDO WA KWELI NI KWA MMOJA  ❤️
Usijidanganye kuna mwingine ataleta MAPINDUZI NAFSINI MWAKO baada ya yule uliyempenda kuondoka maisha mwako, zaidi utaishi kwa Mahangaiko ya NAFSI kwa Kumkosa ULIYEMPENDA huku ukileta mateso yale yale kwa uliyedhani ndiye AMEZIBA NAFASI YA ALIYEONDOKA  ⛔
Nafsi inabeba mmoja, Mwingine atakuwepo kwa sababu zako nae akijua HUMPENDI ataondoka na akibakia atakuwa na sababu ya kubaki na hiyo ndiyo italeta maana ya KUBAKIA KWA SABABU NA MANUFAA YAKE 🤔
Mapenzi ni MATAMU BANAAA  😋 hasa ukiwa na ULIYEMPENDA KWA DHATI YAKO maana kupitia upendo wako nae ATAKUPENDA Kwani UPENDO HUISHI NA UPENDO  💞
Ukiona HUMPENDI mtu nawe tarajia HATAKUPENDA Yaani MOYO  💖 Una sikia kwenye UPENDO WA KWELI ili kama ukiona hupendwi basi ulishiriki kutopendwa, Tafuta uwiano wa UPENDO  💘 WA DHATI kwa kumpenda mwingine  ✔️
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB