MADHARA YA KUANGALIA VIDEO ZA NGONO NA NJIA YA KUACHA - EDUSPORTSTZ

Latest

MADHARA YA KUANGALIA VIDEO ZA NGONO NA NJIA YA KUACHA

MADHARA YA KUANGALIA VIDEO ZA NGONO NA NJIA YA KUACHA

Kuangalia video za ngo-no sio jambo jipya kwa jamii yetu, kimsingi ni watu wachache sana wanaweza kujizuia kujichua au kupiga punyeto baada ya kuangalia video za ngo-no.

Bahati mbaya tabia ya kuangalia video hizi watu wengi huipata wakiwa wadogo sana na usipokua makini tabia hii itakufanya vibaya sana kisaikolojia.

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

KWA VIDEO BONYEZA HAPA

Tabia ya kujichua sasa iko wazi kwa jinsia zote yaani wanawake na wanaume japokua imekua ikiathiri zaidi wanaume sababu ya maumbile yao.
MADHARA YA VIDEOS HIZO NI HAYA

1.⚫️ Kuishiwa hamu ya tendo la ndoa na nguvu za kiume; kuangalia sana video za ngo-no hukufanya ushindwe kusisimuliwa na mwanamke au mwanaume wa kawaida, video za ngo-no zina wanawake na wanaume wazuri sana ambao wako vile sababu ya kufanyiwa upasuaji mbalimbali wa kuongeza makalio na mati-ti, hata wanaume hufanyiwa upasuaji wa kuongeza u-me hivyo mwanamke anayeangalia atatamani u-me mkubwa kama ule au mwanaume anayeangalia atatamani mwanamke kama yule ambaye katika mazingira ya kawaida hayupo.

sasa wanaume wanao angalia video za ngo-no hawawezi kusisimka au kuamsha u-me hata mwanamke wa kawaida akipita uchi na hii huweza kuathiri sana mahusiano yao na kuonekana hawana nguvu za kiume kwani wao hutegemea video hizo kuamsha u-me.

2. Kujichua au kupiga punyeto sana; video za ngo-no zina wanawake na wanaume tofauti, kila video nzuri unayoangalia utaenda kujichua huku ukimuwaza wanaume au mwanamke husika...hii itakufanya ujichue hata mara kumi kwa siku kama unaziangalia mara kwa mara. kuishiwa nguvu za kiume, kusahau sana, kushindwa kumpa mwanamke mimba, kuchoka sana na kukojoa haraka wakati wa tendo la ndoa ni moja ya madhara makuu ya punyeto.

3. Kushindwa kudumu kwenye mahusiano; kuangalia video za ngo-no hukufanya uwaze kujiridhisha mwenyewe tu na hata mwenza wako akitaka kulala na wewe unakua hutaki tena, lakini hata kwa vijana ambao hawako kwenye mahusiano hujikuta wanakua waoga sana kuwafuata wanawake au wasione sababu ya kua kwenye mahusiano, lakini pia wanaume hushindwa kuwaridhisha wenza wao na wanawake kusingizia kuchoka kila siku.

4. Addiction; hii ni hali ya kuzoea sana video za ngo-no na kushindwa kuacha kuziangalia kila siku hata muda wa kazi, muhanga hujikuta akishinda mitandaoni kutafuta website mpya ili aweze kupakua au kudownload video zingine kwani alizokua nazo ameshazichoka..hii humfanya mtu kua mtumwa intaneti.

5. Kuanza kufanya ngo-no ambazo sio za kawaida; hivi karibuni idadi kubwa ya wanawake wamekua wakijihusisha sana na mapenzi ya kinyume na maumbile, hii imesababishwa sana na kuangalia video za ngo-no na kuona ni kitu cha kawaida wakati kina madhara mengi, wanawake waliozoea kuingiliwa nyuma hata wakiolewa huendelea kufanywa na wanaume wa nje hasa kama waume zao hawajawahi kujihusisha na tabia hiyo...aina zingine za ngo-no amabazo zinababishwa na tabia ya kuangalia video hizi ni ushoga, usagaji, au mwanamke kulala na wanaume zaidi ya mmoja au mwanaume kulala na wanawake zaidi kwa wakati mmoja.

JINSI YA KUACHA NA MAARIFA NJIA ZAKE....
Inawezekana wewe unayesoma hapa tayari hii tabia inakuumiza sana kwa sasa na umeshindwa kuiacha, kuna mambo ya msingi unaweza kufanya ili uweze kuacha**

1✔️✔ ️Ondoa zana zote za kuangalia video hizi; kama una computer au simu futa video zote, futa website zote za video ambazo unazitumia kuangalia...kuna watu wamo kwenye magrupu ya watsapp ya kutumiana video za ngo-no, ondoka kabisa huko kwani unajiharibu.

2✔️✔️ Jiunge na mazoezi; ni mazoezi pekee yanayoweza kumfanya mtu aweze kuachana na tabia zote ambazo sio za kawaida ambazo alikua anazifanya kipindi cha nyuma..fanya mazoezi yeyote upate uchovu wa kutoangalia tena.

3✔️✔️ Badilisha tabia hii na ufanye tabia nyingine; kama una tabia ya kuangalia video hizi basi fanya mpango uwe unafanya mambo mengine muda ambao umekua ukiangalia hizi video, ikiwemo kusoma vitabu au kuongea na watu.

4✔️✔ ️Waambie marafiki; inawezekana unaishi na watu amabo video hizi ni kitu cha kawaida yaani inaweza kuziangalia mbele zao, waambie umeacha ili wakusaidie lakini pia waambie wasiangalie mbele yako na hata wakipata mpya wasikwambie.

5✔️✔️ Pata ushauri wa kitaalamu na matibabu; unaweza kumuona mtaalamu wa saikolojia maeneo unayoishi wewe akakupa ushauri lakini pia kwa wale ambao wameshapata madhara hasa nguvu za kiume.

mwisho; tafiti mpya zinaonyesha kwamba ndoa nyingi sasa zinavunjika sababu ya madhara ya ngo-no, chukua hatua sasa kabla hujafikia hali hiyo.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz