-->

Type something and hit enter

On

Leo Kwenye Msisimko wa Mapenzi imekuandalia faida za Mwanamke wembamba katika mapenzi ili upate kutambua thamani ya kila mmoja na utambue kila kitu kipo kwa makusudi na si kwa bahati mbaya.....

Ni jambo la busara tukijaribu kuangalia hili kinagaubaga kwa maana kuna mizozo mingi tuu huko kunako mitaa na tarafa za kimahaba na huba, watu kibao wanajiuliza Je, ni nani mtamu zaidi kuliko mwingine kati ya mwanamke mwembamba na yule mnene?

Mimi ninaweza kusema kuwa mwembamba si mzuri sana zaidi kuliko mnene kutokana na hoja za wadau wangu ambao wamepata bahati ya kuwavua chupi na bikini wanawake wembamba pamoja na wale wanene na wakaweza kulinganisha ubora wao kitandani.

WANADAI KUWA

Mwanamke mwemba mara nyingi ni mwepesi ukilinganisha na wale wanene wanaodaiwa kuwa wazito; zingatia kuwa wanaume wengi hawawapendi wanawake wavivu.

Pili wale wembamba wana maumbile yanayoruhusu mwanaume kulipata tunda lake kirahisi na hivyo kutokutumia nguvu nyingi sana wakati wa kumwadhibu kwa fimbo hiyo ya nyama. Mnene ni balaa kabisa mtu wangu, lazima ule vizuri na ushibe kwa maana utatumia nguvu ngingi katika kupambana.

Tatu na mwisho mwanamke mwembamba akideka huwa inafanania na kweli kwa maana maumbile ya mwili wake ni madogo na hivyo mwanaume hujihisi kuwa anamtandika kisawasawa. Lakini mnene akilia mwanaume huhisi kuwa anadanganywa tu huko moyoni hujisemea hapa ni wizi mtupu!

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB