Si kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE: Utanielewa tu. - EDUSPORTSTZ

Latest

Si kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE: Utanielewa tu.

...... Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA..... na Muogope sana X wa Mmeo kabla HAJAKUOA...... kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete....... I will tell you WHY Kuna watu walipendana sana lakini hao waliowapenda kwa moyo HAWAKUWAOA/ KUOLEWA NAO...... Kutokana na Situations fulani Mwanamke akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera ambazo 'Wanawake wanapenda' na kako vizuri financially IKABIDI huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la moyo' kidemokrasia tu  aolewe na wewe..........
It doesn't matter "how" lakini hawa watu wawili walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa, ukamhamisha mkoa ili wasionane, Ukambadilishia namba za Simu wasiwasiliane tena, Itapita miaka hata 5 hawajatiana machoni ipo siku PAAAP, watakutana Kariakoo kwenye shopping, Zile cheche na hamu na mapigo ya moyo yataruka upya, na kifuatacho ITV kitakuwa Isidingo.
Mapenzi yao hayakufa. Pete haizuii kitu... Watajikuta wameunganisha Vitengezea watoto upya, tena kwa huba zito la kumasiana kwa hali ya juu,wewe ukidhani Pete pekee itamlinda, kumbe waaaapiii, na huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na kuwa na Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga.
Wewe umeoa kwa Mahari mwenzio buuureee bila Mshenga
Kama nadanganya Wanandoa waje na waseme hapahapa.... ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡
Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm na Integration.
Ndoa ni Fumbo na walioweza kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa MUNGU
,,,,, ila Wengi wanadhani wamelifumbua Fumbo,,,,,
kumbe wametegwa na hawajui mtego ulipo,,,,,,,,,
Ndoa needs GOD na watu wenye hofu ya MUNGU otherwise "UTAOLEA KIJIJI"....




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz