;
KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA TAFADHALI ZINGATIA HILI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 8 June 2020

KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA TAFADHALI ZINGATIA HILI

Kabla hujaelekea katika Ndoa, usijisahau ukataka kulazimisha Mtu akupende wakati kimsingi hana hisia na wewe.
.
Mtu sahihi anayekupenda, atakuonesha tu kwa vitendo. Maneno ni rahisi mno kuyatamka. Usiamini kila neno litokalo mdomoni, tizama matendo zaidi.

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB
.
Mtu anayekupenda na mwenye ndoto njema na wewe utamuona tu na wala moyo wako hautajaa mashaka ya kujiuliza uelekeo wako.
.
Kama ni wewe pekee unayelazimisha kiasi umakini, kwamba unalazimisha kupiga simu, unalazimisha kujibiwa text, unalazimisha kuonana, hiyo iwe dalili kubwa ya kukuonesha huo uelekeo hauna tija yoyote kwenye maisha yako zaidi ya maumivu.
.
Kama anakupa sababu kibao za kukaa mbali na wewe, iwe jibu kwako kwamba hana ndoto njema zozote na wewe.
.
Mtu anayekupenda umakini huja bila kulazimisha kutoka kwake. Usiwe kipofu ukaongozwa na kipofu mwenzio, maana, itakuwa rahisi mno kuingizwa shimoni na humo ndipo utakapoharibu maisha yako.
MWANDISHI 👌 Dr Naomi Andrew

.Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB
Image may contain: 1 person, selfie and close-up, text that says "Usilazimishe Mapenzi"Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB