Kulegea kwa uke ni kero kwa wanawake wengi ambapo hupelekea mwanamke asiweze kufurahia tendo la ndoa na hata mwenzi wake. Vyanzo vya kulegea kwa uke ni : wakati wa kujifungua, umri kuwa mkubwa na wale waliomaliza kuzaa.
Wapo wanaofanya upasuaji ili uke uwe mdogo jambo ambalo ni hatari sana, fuata njia hizi ili uweze kukaza kuta za uke wako. Usijaribu kutumia njia hii ni hatari kiafya.
(1). ALOE VERA : Jani lake lina virutubisho vingi ikiwemo Vitamini A, C, Chlorine na Folic asidi. Pia ina madini kama vile Zinki, Calcium magnesiamu na sodium ambayo ni muhimu katika kukaza kuta za uke.
MATUMIZI NA MATUMIZI:
Kamua maji yaliyo katika jani la Aloe Vera
Sugua taratibu hayo maji ya Aloe Vera pembeni ya uke
Acha ukauke kwa Dakika 15
Fanya hivyo mara 2 mpaka 3 kwa siku moja
(2). Pueraria Mirifica na Curcuma Comosa : Hii ni mimea ambayo husaidia katika kuimarisha ukuta wa uke kwa kukaza tishu zilizolegea.
(3). Maziwa ya mtindi na matunda : Unapaswa upate mlo bora na kamili ambao utakusaidia kujenga misuli yako imara. Mfano ni mtindi ambao ukiunywa kwa wingi husambaza Bakteria ambao Uke unahitaji kuwa salama.
NB : Mtindi ukiula kila siku unakuepusha na maambukizi na kukulinda.
(4). Mananasi na Strawberries : Husaidia kukata kabisa harufu ya majimaji yanayotoka ukeni. Matunda yanasaidia kuweka uke safi.
Je, umeachwa na mume/mke/mpenzi ambaye bado unampenda na unahitaji aweze kurudi? Dawa za asili za kukaza kuta za uke, kumvuta aliyembali/ kurudisha mahusiana haraka na kurudis
