IJUE DAWA KOMESHA YA MPENZI BAHIRI

IJUE DAWA KOMESHA YA MPENZI BAHIRI

Somo hili haliko kwa lengo la kumkomoa mtu au kikundi cha watu wa aina fulani, ifahamike kwamba dhumuni letu ni kuweza kuwapatia watu elimu na kuwafungua ufahamu wa namna vitu vya asili vinavyoweza kutatua changamoto mbalimbali katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolkojia.

Unaweza ukawa na mpenzi  wako au upo katika ndoa na unafahamu kinagaubaga kuwa mwenzako yuko vizuri katika suala zima la kiuchumi na kifedha, lakini mtu huyo unakuta anatawaliwa na roho ya ubahiri na choyo hata katika kutimiza mahitaji yale ya msingi.

Baada ya kupata malaalmiko mengi kutoka kwa wateja wake, Dokta Hashimu amekuja na dawa kabambe iitwayo ‘HUAGI’ ambayo asili yake ni jamii ya mimea itambaayo chini ya ardhi na huwa na mizizi inayofanana na kiazi.

“Mmea huu hupatikana kwa wingi Congo  sehemu moja inayoitwa Kabinda, ambapo  majani yake huwa nayaunguza na kisha nachanganya na dawa zingine za aina sita(6) ambazo ni Mnogela, Mwenda, Muhekera, Mgeni na Mkwegu, baada ya hapo naziweka katika chupa yenye asali mbichi tayari kwa matumizi“, alisema Dokta Hashimu.

“Matumizi yake dawa hii kwa wale ambao waume zao wanakuwa hawawaongi pesa , basi utaipaka hii dawa kwa bibi, ukienda kukutana na huyo mwanaume lazima akuhonge kiasi chochote cha pesa utakacho halikadhalika kwa wanaume wenye wanawake wenye pesa ambapo ni wabahiri watafanya hivyo hivyo“.

Previous Post Next Post