ZITAMBUE CHANGAMOTO SITA (6) KWA KILA UCHUMBA/NDOA - EDUSPORTSTZ

Latest

ZITAMBUE CHANGAMOTO SITA (6) KWA KILA UCHUMBA/NDOA



Ukweli ni kuwa watu wawili wanapoamua kw dhati kuwa katika mahusiano ni kwamb wanakuwa tayari katika akili zao wamejeng matarajio au matumaini ya kunufaika na uhusian husika, hata kama hawawezi ambiana moja kw moja kuwa “ aisee, mie kuwa na wewe natar moja , mbili, tatu….”. Kunapokuwepo na upendo, basi pia kunalet majukumu, ambapo bila ya kutimizwa kw majukumu yanayotarajiwa kutimizwa, maana hali ya mahusiano bora inapotea. Hii si tuu kwa mahusiano ya kimapenzi, bali hat dini zinatufundisha kuwa Mungu anatupenda, n katika hilo, tunajukumu la kutii amri zake, n kwamba tusipotii amri zake, tunakuwa tumeharib maana nzima ya upendo wake, kwani tutajikut tumeingia motoni/jehanamu (Kinyume ch upendo). 

Hata katika familia, tumesikia mzazi pamoja n upendo alioonyesha kwa mtoto wake toka yup tumboni mpaka mtoto ameweza kujitegeme endapo mtoto husika akashindwa kumjali ( h ndio jukumu linalokuja na upendo wa mzazi), ba unaweza sikia mzazi huyo akitoa ‘laana’ a ‘akamwachia radhi’ mtoto wake mwenyewe w kumzaa. Ni wazi kuwa mara nyingi majukumu yanayoletw na upendo huwa hayaelezwi wazi wazi, hata hivy katika mahusiano, mambo yafuatayo yanawez kuwa sehemu ya matarajio ambayo wapen wanaweza kuwa makini ili waweze kuwapendez wenzao. Kwa maana nyingine ni kuwa yafuatay ndio maeneo ambayo mtu aliye kweny mahusiano ni muhimu ‘acheze’ vema ili kulind mahusiano/penzi:- 

Fedha: Katika swala la fedha, jambo kubw linalojitokeza ni namna ya kufanya maamu kuhusu matumizi ya fedha.Ni muhimu kuwek mikakati ya pamoja kwa mambo ya msin kimaisha , na kila mmoja kutilia maanani mipang hiyo, kabla ya kuamua kutumia kipato chake kw mambo ambayo pengine hayapo nje ya mipang ya kifedha ya wawili nyie kama wapenzi. Bil shaka, kuendana na aina yenu ya kipato, ain yenu ya maisha, kama wapenzi mtakuwa n kiwango fulani cha fedha ambacho si busar mmoja wenu kuamua kutumia bila kumtaarif mwenzake , hata kama matumizi husika muhimu sana, na haijalishi nani kazitafuta fedh husika.

 Imani: Katika swala la imani, ni muhim kufahamiana vema mwenendo wa kiimani w mwenza wako, na kuheshimu kuwa swala hili nyeti, na mabadiliko ya kweli hayawe kulazimishwa. Imani inaweza athiri namn mnavyoweza kuwasiliana kama wapenzi – kwa mwingine mwenye msimamo mkali wa kidi anaweza kukataa jambo fulani hapo baada jambo ambalo pengine mwenza wake anaona jambo la kawaida tuu. Imani inaathiri malezi y watoto, na inaweza athiri shughuli za kiuchumi z wawili nyie, mfano pale mmoja wenu anapoamu kujikita katika ‘huduma’ zaidi, kuliko familia n shughuli za kuingiza kipato.

 Mahali pa kuishi: Mtaa gani , wilaya gani, mkoa gani, nchi gani au bara gani kila mmoja wen anatazamia muishi ni jambo la msingi kuliwek wazi kati yenu. Jambo hili linaweza kuendana n mambo mengine mengi ambayo yanachoche mabadiliko ya muda mfupi na hata muda mref katika maisha yenu, kama vile , aina ya ka mnazotarajia kila mmoja wenu kufanya, na aina y kazi unazotamani au kufikiri ni vema mwenz wako afanye. Watoto: Hili ni jambo zito haswa katika vipenge vya lini watoto wapatikane (ujauzito), idadi y watoto, aina ya malezi kwa watot watakaopatikana, na zaidi sana majukumu y kifedha katika malezi ya watoto (mfano, na atalipa ada ya shule, n.k). Pamoja na kutafaka hayo, watu wawili mlio katika mahusiano, muhimu mkatengeneza picha ya maisha y watoto wenu endapo mmoja wenu atatangul mbele za haki (atafariki), na hata ikiwezekan mwaweza fikiria na kupanga aina ya maish mnayotaka watoto wenu waishi pale nyote waw hamtokuwepo duniani. Inapotokea mambo kam hayo yaliyotajwa hapo juu hayajawekwa wa mbele yenu, ni rahisi mmoja wenu kufan mambo yasiyompendeza mwengine –mfan wakati mwingine anafikiria akiba ya baadae y watoto ili wakasome international scho mwingine anafikiria namna ya kutanua ili ‘kuuz sura’.

 Falsafa ya maisha: Swala hili linahusu wa kipeke na tafakari huru ya kila mmoja wenu kuhus mambo kadhaa ya kimaisha kama vile mtazam wa kila mmoja wenu kuhusu biashara (mwingin biashara ni kitu cha kuweka heshima kwa jam wakati mwingine biashara ni kielelezo ch huduma kwa jamii na hivyo kinahit muendelezo). Falsafa pia inahusu namna kila mmoja wen anavyochukulia mambo kama vile kusaidia wat wengine, kuwa na mahusiano na watu wa jinsi tofauti (wapo wasiotaka hata classmet ampigi simu mpenzi wake). Falsafa pia inahusika n namna kila mmoja anavyotafsiri mafanikio katik maisha, na alivyo tayari kufanya yanayopasw kufanywa kufikia mafanikio (Mfano, wengin mafanikio ni mali na umaarufu, wakati kw wengine mafanikio ni namna anavyoweza kuw na furaha na uhuru , pamoja na kusaidi wengine). Katika juhudi za kufikia mafanikio unawea kukut wapenzi mnatofautiana kwani mmoja anawez amini rushwa ndio suluhisho pekee la kufiki anakotaka, wakati mwingine anaamini tofauti n hivyo. 

Hisia za kimapenzi: Ni jambo la msin kutokupuuzia hisia za kimapenzi za kila mmoj wenu. Tambua vile mwenzako angependa akuon unamvutia na vile ambavyo unamjali hisia zake. kweli kuwa katika mahusiano, hisia za kimapen zinaweza zisichukue nafasi kubwa kati yenu kwa kuna mambo mengi ya kufanya pamoja kam wapenzi, hata hivyo pamoja na udogo wake w muda, jambo hili nyeti lisipopewa kipaumbel linaweza sababisha mengine yote kuharibik Zaidi sana, kumbuka wewe na mpenzi wako, watu wa jinsia mbili tofauti, kinachowafany muungane kiasili ni hizo hisia za mapenzi ka yenu.

 Hitimisho: Sio lazima kama watu wawili mli katika mahusiano muwe na mtazamo sawa katik hayo yote yaliyoelezwa hapo juu, hata hivyo, muhimu sana kwenu nyote kuwa na pich kichwani ya mtazamo wa mwenza wako kuhus mambo hayo niliyotaja hapo juu. Pale mnapokubaliana kutofautiana katika mamb yaliyotajwa hapo juu (mf.mambo ya fedha, n imani), hakikisheni mnakubaliana bila kutofautian kuhusu athari za kutofautiana kwenu, na jukum la kukubali athari hizo kwa mahusiano yenu.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz