Wanaume Wenzangu... πŸ› πŸ›  UMEMKOSEA WIFE?? ✨ FANYA YAFUATAYO: - EDUSPORTSTZ

Latest

Wanaume Wenzangu... πŸ› πŸ›  UMEMKOSEA WIFE?? ✨ FANYA YAFUATAYO:


1. KUBALI KOSA: Usiendelee kumzungusha Wife wakati unajua umemkosea πŸ€«πŸ€«.
2. OMBA MSAMAHA: Omba msamaha kwa kumaanisha hadi Wife ajue unajutia kosa πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½.
3. USIRUDIE KOSA LILELILE: Kurudia kosa moja kila wakati inamaanisha hakuna toba ya kweli πŸ™„πŸ™„.
4. USIJARIBU KUJITETEA KWA KUMKUMBUSHA WIFE MAKOSA YAKE: Hata kama Wife alishawahi kukukosea na ukamsamehe; usilete hiyo mada hapo Brother! Wewe kuwa MPOLE tu ndugu yangu, shughulikia AGENDA iliyopo mezani πŸ€πŸ€.
5. KIPINDI CHA TOBA MFANYIE WIFE VITU ANAPENDAGA: Wewe unajua anachopenda Wife wako; fanya kwa bidii kama sehemu ya toba. Mfano kumpikia (kama unajua lakini), outing, kusafisha nyumba, kumsaidia watoto, nk!! Mara nyingine ni ngumu kufanya haya mambo ila jitahidi iwe ENDELEVU πŸŒ·πŸŒ·.
6. MWAMBIE WIFE AKUOMBEE: Yani akikubali KUKUOMBEA baassiiii; umesamehewa kabisaaa πŸ˜ŠπŸ˜Š. Unajua mtu hawezi kukuombea kwa MUNGU pasipo kukusamehe kwanza πŸ‘ŒπŸ‘Œ.
NB:
πŸ“Œ UKIKAA VIBAYA NA WIFE KILA KITU KINAGOMA!
πŸ“Œ Happy WIFE... Happy LIFE!!
1 PETRO 3:7; “Kadhalika ninyi WANAUME, kaeni na WAKE ZENU kwa AKILI; na kumpa mke HESHIMA, kama chombo kisicho na nguvu; maana wao pia ni warithi wa neema ya uzima, ili MAOMBI yenu YASIZUILIWE na chochote.”
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz