UANAUME HAUKAI KWENYE SURUALI UANAUME TAFSIRI YAKE NI HIVI,,,! - EDUSPORTSTZ

Latest

UANAUME HAUKAI KWENYE SURUALI UANAUME TAFSIRI YAKE NI HIVI,,,!

*Uanaume haukai kwenye suruali Uanaume tafsiri yake ni "Kuishi na Mwanamke kwa akili kiasi kwamba Mwanamke abaki akikuheshimu na akikupenda na akiishi na wewe kwa furaha.*
*Sometimes, wanaume kuna kipindi wanapitia mambo mazito sana na mara nyingi wanakufa navyo moyoni kulinda furaha yetu sisi watupendao, Hivyo wakirudi Nyumbani huwa wanatafuta faraja ya nafsi na tulizo la moyo na sio kelele.*
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz