SMS TAMU ZA MAHABA KUMTUMIA MPENZI WAKO - EDUSPORTSTZ

Latest

SMS TAMU ZA MAHABA KUMTUMIA MPENZI WAKO



Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki 
zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako 
wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, 
tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata 
ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
♥Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamu 
kusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Huruma 
huoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosa 
husameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kila 
jambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendo 
huambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njia 
za mafanikio huonyeshana!!! Mbele ya madui hulindana!!!nai 
ni mmoja katia ya wakupendao,hakika ni 
mm wa kwanza kwanza wengine wanafata♥

      *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
     
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na 
wali, 
usizidishe siki akawa mkali. 
Ni 
mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali. 
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Kama upendo ni tone la mvua nakutumia 
   !!!!!
   !!!!!
   !!!!!
Kama furaha ni ua nakutumia maua
     

 *%*%*
         )!(
        (   )





kama tabasamu ni sekunde nakutumia masaa
  . '12' .
9   _/   3
   ' 
.6. '
kama maombi ni maji nakutumia bahari
-_-_-_-_-_-
-_-_-_-_-_-
-_-_-_-_-_-
kama mafanikio ni majani 
nakutumia miti
 ,:*"*;,    ,:*"*;, 
*;% ,,*  *; %,,*
__)(__   __)(__ 
kwasababu nataka uwe na furaha 
cku zote
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*


 .:""""\_____.-.-._
( 0    .-----------'
  '---'
Tunza ufunguo huu,utautumia kufunga mwaka 2011 & 
kufungulia 2012. Mungu alizigawa nikakuchukulia na wewe
..............................

        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbuka 
kuna akupendaye naye ni MIMI!.
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi 
nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, 
kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*


Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, 
fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, 
fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo 
kwa kukutumia sms mpenzi wangu, 
Nakutakia usiku mwema
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji 
kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo 
kama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe 
sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya 
ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! 
"NAKUPENDA MALAIKA WANGU"
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi 
umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama 
hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA 
MWINGINE ZAIDI YAKO" 
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani 
nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi 
kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali 
hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, 
huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili 
mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. 
Mchana mwema
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala 
sina wazo la kukutenda, nakuomba 
tuendelee kupendana siku zote habbity wangu
         *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, 
siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu 
muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. 
"NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno 
laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama 
apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee 
salamu "UHALI GANI MPENZI?"
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*




tazama, nimezama
ndani ya bahari
la penzi lako
siwezi
kusonga mbele
kurudi nyuma
sijielewi
haya mapenzi ya fujo hayafai
kama wanipenda
jaribu kunipa raha
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na 
liku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlo 
haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2 
Linatokea Bila Kujua Na Halina 7bb.neno Hlo Mi Mwenyewe 
Silijui Ila Ndo Lina2fanya 2we Pamoja Japo 2po Kas Na Kus. 
Nakupenda Xana Dia
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa 
kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa 
upendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwema 
mpenz
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzo 
ktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kabla 
hjalala.g9t
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bila 
sababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea Pasipo 
Sababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie.
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
pendo la dhati lina sifa 
zifuatazo,kuvumilana,kusubiriana,kujaliana,kushauriana,na 
La Mwisho Ni Mimi Na Wewe.
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye 
Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni 
Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli  Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani 
Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali 

Nakupenda Mpz       
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Napenda Kuiga Na Kujifunza Nisivyovijua Lakini Kukupenda 

Wewe Siwezi Kuiga Wala Kujifunza. Nakupenda Saaana
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
 ahsante mpz kwa kujua thaman yangu kwako,nashukuru 
umegundua hisia zangu mapema naomba unipe hifadh ya kudumu 
ndani ya wigo wa mtima wako.
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Nakupenda zaidi ya Armasi inayo chimbwa ardhin,sipendi 
nikupoteze nikajutia Moyoni,naitaji nikuenzi,km mboni yng 
machoni.
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Naitaji kuku enzi na si nikutoe machozi,sababu we ndo 

wangu kipenZ,na sina mwengine lahazz.
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Mapenz yk hasari kwa mwengine sitamani,umeniteka 
akiri,mpaka najihisi punguani,nakupenda sana mpenzi!!
       *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Ewee wangu wa huba,mwenye tabasamu la mahaba,hakika 
n/penda, kwa mwengine sito kwendaaa....!!!
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Wangu hayuni mwenye upendo wa dhati,hakika  nakupenda,mwengine sitamani,hamin mpenz kwa zangu hiz 
tenzi..!
        *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
Moyo hauna nafasi kwa pendo lilo na nia, sijali 
wala sihisi kwako nimejitolea, kwangu toa 
wasiwasi sishindwi kukuridhia, kwa yangu hii 
nafasi moyo umekuchagua
..............




Moyoni mwangu hutoki nakuomba ukubali, nawala 
sibadiliki hilo kwangu ni muhali, si km 
sikukumbuki zimenijaa shuhuli, ww kwangu si 
rafiki ni ndugu nnaekujali
.........
Ewe ulo2lizana chaguo la moyo wng kila 
nnapokuona huniondoka machungu tabia zako 
mwanana zmeuteka moyo wangu yoyote atakaekuona 
mwambie ww ni wangu
.......
Moyo unasikitika hauto acha daima. Machozi 
yatiririka siusiku si mchana. Huzuni imenishika 
kwa vile sijakuona 
.........
ndege tausi alimuuliza kasuku "hivi kuna viumbe 
wazuri kuliko sisi duniani?"kasuku akajibu,ndio 
wapo kama hujui mtizame huyu anayesoma msg hii
...........
 Giza ndiyo laingia natamani ungekuwepo 
nipate kukumbatia, hakika nimechoka mto
kukumbatia nakukesha ndotoni nikikufikiria, 
nakumiss dear fanya hima nyumbani
kujongea wazazi wapate kukutambua! Nakupenda 

dear
.........
Penzi langu maarufu nakupa unienzie, Tena ni 
penzi nadhifu hilo lazima ujue, Wala si penzi 
la khofu wasiwasi likutie, Ni penzi la insaaf 
nampa nimpendae,Kama kupenda mauti kwako 
nitayarikufa,kama kupenda maradhi dawa kwako 
natafuta, kama kupenda bahati mwenzako 
naitafuta ,naomba nipe nafasi mwenzako nataab 
Na wala sitampa mwengine anayefanana na wewe
........................................
  UPENDO si ndege ukaonekana angani, 
UPENDO si tunda lichumwalo mtini,
 UPENDO si wimbo ningekuimbia, 
UPENDO si vazi ningekushonea,
 UPENDO  si picha yangu
 ningekutumia bali
 UPENDO ni thamani iliyoko
 moyoni mwangu.
 nakupenda na nakutakia 
usku mwema.
.......................
   salaam ni 





1,nuru humfariji aliye na huzuni  
  2 ni jahazi huvusha aliye ng'ambo                        
     3,pia ni nuru huangaza gizani,
 wewe ni lulu yangu nakupenda xana,
......................
  "Umbali si shari ila kujua hali ni mali",
 "jambo la wema ni asali ukimya ni ajali", 
"japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali"
I LOVE U
................................
   Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,
 STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,
 SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua,
 ila napenda jinsi anavyo CORDINATE na wa2,
 nafurah kwa kuwa  naongea nae SIMULTANEOUSLY,
 ila naamin ubongo wake una FUNCTION atajua 
kuwa nampenda  yaan nahic kama niko
 kwny CIRCLE kwan najitahd kumpuuza
 lakin is very long MATRIX .
Nafikir  
ushamjua kwan shep yake ni SIMPLE POLYGON
 namzungumzia MATHEMATICS!! Chezea
...............................
Naitaji kuku enzi na si nikutoe machozi,
sababu we ndo wangu kipenZ,
na sina mwengine lahazz.
..............................
wee wangu wa huba,mwenye tabasamu la mahaba,
hakika n/penda, kwa mwengine sito kwendaaa....!!!
...........................
Nashndwa kulala haja ya moyo wng 
naijua machoz hayansh homa ya mapenzi naugua
...................................
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako,
 utawaliwe na

usingizi wa mahaba kwenye kope zako,
 naomba

ujenge taswira yangu katika mawazo yako,
 Usisahau kuniota
sweet wangu. USIKU MWEMA
......................
Asali wa moyo wangu,
 fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba
 mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba,
 jua linaweza kusimama, 

lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie,
nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu, 
njooo mwandani wangu 

nakusubiri daktari wangu.
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ?
 Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo,
 ndugu zako wanaotugombanisha 

na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi.
 Mapenzi yetu yadumu daima.
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
 "Umbali si shari ila kujua hali ni mali", 
"jambo la wema ni asali ukimya ni ajali", 
"japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali"
I LOVE U
.....................................
  Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,, 
STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,
 SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua, ila napenda
jinsi anavyo CORDINATE na wa2, nafurah kwa kuwa  naongea
 nae SIMULTANEOUSLY, ila naamin ubongo wake una FUNCTION
 atajua kuwa nampenda  yaan nahic kama niko kwny CIRCLE 
kwan najitahd kumpuuza lakin is very long MATRIX .
Nafikir  ushamjua kwan shep yake 
ni SIMPLE POLYGON namzungumzia MATHEMATICS!!
 Chezea
................................
   Katu si kila rafiki ni msafi
 wa moyo. Wengine ni wanafiki 
wanakuonea choyo. Hutamani
ufariki wachukuwe upendayo. 
Hawa hawafadhiliki husda ni 
kazi yao, kila unachomiliki
hutamani
 kiwe chao. lau kama husadiki 
jaribu kukaa nao.Mchana mwema.
..........................
 Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta 
amechoka mpe "POLE" ukimkuta mpweke"MLIWAZE" ukimkuta
 anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu "MTATULIE"
............................




Uliposema wanipenda sikuamini ipo siu utaja nitenda!, nilikueleza nini napenda nawe ukaapa yote kutenda kwakuwa wanipenda, leo umebadirika waanza nitenda, hivi kweli bado wanipenda??
     •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ulipolihitaji langu penzi ulidiriki hata kulimwaga chozi leo umepata langu penzi waniletea pozi, siwezi lazimisha penzi pasipo na penzi, amini nilikupenda ila nimeshindwa na zako pozi, nakutakia maisha mema na huyo wako mpya mpenzi. Be blessed..!!
       •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika uliuteka moyo wangu, nikaamini u wangu peke yangu, nikaziba masikio yangu yote niliyoambiwa na rafiki zangu, kumbe naidanganya nafsi yangu. Its over baby!
     •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hivi kwanini kila siku mimi nimekuwa mtu wa majonzi, niliamini we ndiye wakunifuta machozi kumbe zilikuwa njozi, siamini kama umeniongezea majonzi, asante sana mpnz!
     •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Tangu nilipokufunulia pozi waniletea, mawasiliano yamepotea na kila tupangapo mihadi kwako huwa ngumu kutokea, niweke wazi nijue kama ndiyo mwisho wa penzi letu
     •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kila siku naishia utamu kuuckilizia njozini unaponijia, najiuliza lini utanivulia niachane na ndoto tele ndotoni zinazonijia?
     •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
m?y?ni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea,
sijui ni nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea kumbuka nilikupenda
        •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
kama kuvumilia nimevumilia na sasa yatosha,
nikoradhi mbivu zako kuzikosa,
kuliko kuendelea kujitesa,kumbuka nilikupenda
         •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nimeamua kwenda kwani sihitaji kukutenda,penzi la
dhati nilikupa lakini hukutambua kuwa nakupenda
  nakutakia maisha mema na utakaye mpenda
        •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ama kweli!vizuri havikosi kasoro ,mapenzi yetu kutwa
hayaishi migogoro,hivi sasa giza limetanda totoro
 sijui lini tutamaliza hii migogoro?
        •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
 Ulisema wanipenda na katu kwa mwingine hutokwenda na leo umenitenda! Umeamua kwenda ingawa wajua bado nakupenda, leo ni siku kenda toka umekwenda, amini bado nakupenda na kwa mwingine siwezi kwenda!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Kila siku mimi ni mtu wa kulia, ipo siku uvumilivu utaniishia, hivi ni kwa nini hutaki kutulia na kila kitu nimekupatia, wewe wehuka na hao wanaokupapatikia, lakini utaja jutia siku ikiwadia.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
· Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana, sasa nafsi yangu ishasema hapana, namuomba Maulana akujalie kheri na afya njema daima, kumbuka nilikupenda sana.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika najutia nafsi yangu kukupatia mwanaume kiruka njia kila mwanamke wewe akuvutia, nguo shuruti wataka akuvuliye, katu penzi sitakaa nikupatiye.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mpenzi mbona mapenzi yetu kama yanapoteza dira, kila siku huishi hila, kitu
kidogo wafura hasira. Wanichanganya dia!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Najua ni kweli wanipenda,hata mimi nakupenda laaziz wangu,ila pendo lako litajidhihirisha zaidi kangu ukizidisha uaminifu.nakupenda mpenzi
  •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 
Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku zote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe ndiyo ua la moyo wangu!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
 Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali
walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa la dhati
penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Leo tukiwa katikati ya mwezi wa kumalizia nusu ya kwanza ya mwaka 2013, nachukua fursa  hii kuwatakia MAFANIKIO BORA ya MAISHA wale wote wanaonipa ushirikiano mzuri katika maisha yangu..
Kila niliposoma sms  zako zenye nasaha nyingi  niligundua mambo makubwa matano.
1:KUNIJALI
2:UPENDO
3:FURAHA
4:WEMA
5:KUTHAMINI
Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya maana sana kwangu, pia sikuhisi UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA pia nakuomba unisamehe pale nilipokukosea.
Hivyo nami nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU;
1. RADHI ZAKE
2. HAIBA KWA WATU
3. MAFANIKIO MEMA. "asante sana"
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 
  moyo wangu saafi kama upole wa tausi  wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 
  Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nashindwa kudanganya moyoni ulivyonijaa
faraja na furaha  uliyonipa
moyoni umeshaniingia kwa tabasamu unalonipa
moyo wangu wakuridhia. 
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani, RAha ya ndege mpunga na wala sio majani, Raha ya ndege kuruka na kuimbia angani, Ndege salam nakupa zipeleke kwa makini, iwapo hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka ingia mpaka ndani, mwambie namkumbuka japo kuwa simuoni  
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
 Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta 
amechoka mpe "POLE" ukimkuta mpweke"MLIWAZE" ukimkuta
 anahuzun muulize kwa nn akikupa jibu "MTATULIE"
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 
 Udugu wa kweli ndio wenye thamani,
Utajiri
 na mali si chochote maishani,
Upendo na 
kunijali ni faraja yangu moyoni,
Hata kama
 upo mbali bado nakuthamini, Salam ni amani
 kwa yule aijuae,
Salamu ni sunna kwa yule
 aitoae,
Salamu ni thawabu kwa yule aitikiae
,
Na mimi nasema "Asalam Alykum"
 •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Alikosa raha ulipougua! alipigana na kutukanwa ulipoonewa, alikaa na njaa ili ww ushibe na kufurahi. Aliakikisha halali mpaka ww ulale, na kikubwa zaid mimi na wewe tusingejuana wala kupendana bila yeye, Je unamjua huyu? Si mwingine ni MAMA. KUMBUKA PEPO ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU.   (MPENDE SAANA MAMA)
AKIWA HAI MLIWAZE NA KM AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA. 
................
Ee' kidole changu (jinalo index ka'skosei). . . Ni lini utavaa pete kuthibitisha ushakwalifai leseni ya kuishi na Binti Beyo nimpendae kwa dhati tokea kilindini? 
...................
 "%%%,,"Nina",,%%%,,"busu"%%%,,"tam"%%%,,"kwa"%%%,," ajili"%%%,,"yako"%%%,,"haya"%%%,,"% %%",,"fumba"%%%,,"macho"%%%",,"bac"%%%,,"nikubusu"%%" 1__2__3aah" umevunja"%%%,,",,"masharti"%%%,,",,"bado"%%%,,",,",,","unasoma"%%%,,",, "sms"%%%,,"%%%,," nimeairisha"%%%,,"siku"%%%,,"busu",,"tena"%%%,,"%%%,,"labda"%%%,,"%%%,,"kesho"%%%,,"I "LOVE,,",,"YOU"
........................... 
.*""* . *""*.
* ""I-""L-""O
 "*.""V""E"*
      "*.U*" Hii ni mizani ya mapenzi, wengine hutoa mali au zawadi, mimi natowa moyo wangu kwako.Je ww unatoa nini ?
...........................
Kwenye ubongo  nimekusevu "I LOVE YOU," na moyoni nimeandika "ONLY YOU," na kila nimuonae  nasema "NO ONE LIKE YOU," wala cogopi kusem I'm "CRAZY" for you,every  "SECOND" I think about "YOU" so napenda uamini "ME" for "YOU," nice tym"MY DEAR" MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok
............................

  
Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA 
4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaon
............................
Nimepanda gari la "KUKUPENDA" Nimefika kituo cha "KUKUWEKA" (moyoni)  Ghafla nikapata ajali mbaya ya kuwa mbali "NAWE", Nimelazwa hospital ya "KUKUMISS" (100%)  Nimeandikiwa sindano za "KUKUWAZA" / kila saa,,,  Nimetundikiwa dripu ya "UAMINIFU" na nimepewa dawa za kunizuia kumpenda "MWINGINE" zaidi yako!!(.....)
...........................
 napenda wali nyama , ugali mchicha, pia roast nyama na supu mchemsho ila vyote sipendi zaidi ya ninavyokupenda.
.....................  
Sasa nimegundua DAWA ya MAISHA! N kulipiza VISASI yaani: Ukinichukia NAKUPENDA Ukiniudhi NAKUFURAHISHA, Ukinisahau NAKUKUMBUKA, ukikaa kimya NAKUSALIMIA! MAMBO?
..........................


 Salamu ni moyo ktk "IMANI". Salamu ni uhai ktk "UPENDO". Salamu ni ufunguo wa "RIZIKI" salamu ni chakula cha "NAFSI" salamu ni "MSAMAHA" wa kudumu milele. Salamu ni kinga ya maradhi" salamu huondosha "UADUI" Hakika salamu ni"UTAKASO" wa "NAFSI". Nami nakupa wewe niliyekutunuku. **
.............................
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"
...................
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. "NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU"




..............
Siku niliyokutana na wewe kwa mara ya kwanza haiwezi kufutika mpenzi, ilikuwa siku nzuri sana kwangu, siku ya kutambulisha hisia zangu kwako! Ukanipokea na kunikaribisha moyoni mwako! Hakika nakupenda sana mpenzi wangu!
.........................
Samahani mpenzi kwa kukupa habari mbaya! Nimepata ajali ya MOYO, nimelazwa wodi ya MAPENZI, Daktari kaniandikia vidonge aina ya BUSU, nimetafuta katika maduka yote ya dawa nimekosa! Je, wewe waweza kunipatia mpenzi wangu?
..................
Kila chozi likidondoka linaandika jina lako, kila waridi nilipandalo latoa harufu yako, kila moyo udundapo hutaja jina lako, nakupeda mpenzi wangu wa ubani, kukusaliti siwezi asilani!
......................
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu!
.....................
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.
...................
Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yangu usikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee, lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.
.......................
Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.
.................
Mpenzi nakupa pole sana maana nimesikia habari mbaya kwamba unatafutwa na polisi kwa kosa kubwa sana ambalo huwezi kulikana na lina ushahidi wa kutosha kwamba unatuhumiwa kuiba moyo na mawazo yangu kiasi cha kunijeruhi mawazo yangu hadi sasa naonekana kama chizi.
........................................................................









MESEJI ZA KIINGEREZA


I could never forget the warmth of your hands on my hands. I want to feel it every day and every night. So please, be mine.
My love lives until sun is rising from east and until earth is rotating around it.
I have never heard much from you. But when I see your smile, I know whats in your heart. That’s love for me.
I was thinking how can I say three words to you. Then I found a way.
“I” feel very happy with you.
“Love” is so beautiful.
“You” are enough for me for this life.
Now join first words of the sentences.
How can I explain my feelings to you. Its pain, its numbness, its like I can see only one thing, hear one thing and think about one thing. That is you.
I will never let you go. No matter what situation we are in, I love and care about you for ever.
I have a question for you. Why my heart trembles and my hand shakes while you are around? Why I feel like I have everything in the world and I am so lucky?
Every success, all achievements, my destiny, my love, all feelings are just for you.
Whenever I think about love, I think about YOU. Whenever I see beautiful things, I think about YOU. Whenever I am in trouble, I think about YOU. Whenever I am happy, I feel you with me.
Love is not conscious activity. Its something like reflex action. You smile and you cry without any reason.
I don’t expect love, affection and attention from you, but I want you to feel how I feel for you.
Love is not what you expect. It is not a bed of roses, its not a cup of tea, it’s a path full of thorns and a lake of fire.


Not everyone is able to express the feelings of love here. So do I. That’s why I am sending my heart to you, peep in it and see whats in it for you.
There is no reason, no question, no answer, no logic why I love YOU.
When I came across the feeling of love, everything seems beautiful and I fell in love with everything.
Among all the thorns of life, love is just like a beautiful red rose.
I wish I could tell you about my feelings, in the morning, middle of the night, when I eats, during sleep, in happiness and in sadness. I just want to tell you that I love you.
Three words could change my life. I can do anything just to hear those three words. Please tell me that YOU LOVE ME.
Among billions and millions of people, I choose one person. The person I want to be my soul mate. It is You, My True Love.
No matter which stage of life you are at. If you are in love, it will keep you young and energetic.
I want to love you all my life. Together we are like a strong bond and I wish it never breaks or destroys ever.
I dreamed of you and in my dream I hugged you, kissed you and said I love you. Would you please allow me to live that dream?
I feel warm, safe, happy and special in your arms. I want to stay near your heart forever.
When I thought of you I can feel pain in my heart and smoke of burning dreams. You were my painful past and the lost moment.
Your presence gives me power to face my problems and keeps me going. Your smile makes me strong and your love gives me feeling of completeness. Thank you My Love! For being there with me every time.
I am the lucky one to have such good friends, great parents and have a sweet and loving admirer like you. Love you.
I have come to know the meaning of life and happiness, just when I met you. I am lucky to have you. I love you.
I don’t just like your appearance, I like your heart because its really pretty. And its enough for me.
There is only one sweet heart for me. He is near my heart and in my eyes. He will be remain there till my life ends. He is my best friend, my love.
Never run after love, if someone is in love with you truly. You never need to even say something and its yours.
My sweet secret of life is you. My true mate, my heart beat, golden moment and my only good luck is you.
I just simply say that the only thing I want most from life is true love. True love from YOU.
The most precious gift for me is your face with a sweet smile. Because I know you smile when you think of me.
You are my dream I see every night. You are first thought I think every morning. You are my happiness I feel every time. You are my most favorite memory I never want to forget.
I want to tell you that I will hear all your stories, wipe your tears, take care of your heart and I will love you and live with you all my life.
There is not a single night, without a dream of you. I dream of you day and night, Monday to Sunday, eyes open, eyes close, every moment and every instant, I just dream to have you in my life.
This day is as special as you are. I want to tell you that there is something magical about you. When you are here with me I feel strong, happy and lucky. Thanks for being in my life.
Be in love with me and make my life heaven. You are the only essential part of my life. So don’t even think about leaving me alone. I am nothing without you.
Whenever I look up to the sky full of shinning stars, only thought comes to my mind is YOU.
The best thing happens to me in my whole life is LOVE. Loving you is my passion and spending my life with you is my dream. Please let my dream come true.
I want to remember each and every moment we have spent together. They are like beautiful dreams I ever have.
In bad and sad moments, just remember that I LOVE YOU.
You are my first thought in morning and last thought before sleep. You are my love in life and after life.
My love would never fade or change, even if you forget the promises. Whenever you look back I’ll be there for you.
I love you like words in silence, like a speech of air, like a songs of lake, like sweetness of cake.
My true story is that I don’t have a heart any more. Please check inside yourself, I believe that you have two.
Your shoulder is my favorite place to cry on. Your heart is my favorite place to live in and your arms are my favorite place to fall.
I knew it from the very first moment, when I saw your eyes and your cute smile, that you are mine and only mine.
I want to touch your soul and have you in my heart and in my arms. You are a hero of my love story. Love you.

I came to know about soul mate, the moment I have met you. You made me realize how special the feelings are, when someone is in love. I love to love you.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz