NAOMBA UFAHAMU HILI - EDUSPORTSTZ

Latest

NAOMBA UFAHAMU HILI

Kwenye maisha kila mtu anapitia maumivu na magumu ya hali ya juu........ Ijapo kuwa kila mmoja anapitia maumivu na magumu kwa muda wake lakini mwisho wa siku hupita na maisha lasmi huendelea lakini bado haija tufanya kuya sahau magumu hayo na maumivu.
Kuna muda mtu analia kwa kuwa ame achika katika ndoa yake kisa kazidisha chumvi kwenye mboga, kuna muda mtu analia kwa kuwa amefiwa ,kuna muda mtu analia kisa kutelekezwa na mimba ama mtoto pia wapo wanao lia kwa kuona msiba kwao lakini sababu inayo wafanya walie marehemu ndiye alitakiwa kuwa muandaaji na msimamizi wa msiba huo.
NAOMBA UFAHAMU HILI:
Siku zote katika maisha hakuna mwanadamu anaishi kwa raha tu na starehe hapana, ili uwe binaadamu ulie kamilika lazima tu utapitia mambo tofauti tofauti na mengi ya kukufanya uumie ila uimara wako ndio kitu pekee kitakacho kufanya uishi kwa kujiamini ni uvumilivu wako.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz