Mwanaume njoo nikwambie🤦🏾‍♂ - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanaume njoo nikwambie🤦🏾‍♂

Mambo yaletayo nguvu katika tendo la ndoa|special: Wanandoa ...
Kwanza kabisa tambuwa Mwanamke wako ni Dada wa Mwanaume lakini pia kumbuka ni Binti ya Mwanaume mwenzio💪🏽
Unapokuwa mbinafsi kwa kujiangalia wewe ili utimize adhima yako na umuache Mwanamke akisononeka na kukosa tumaini juu ya MAHUSIANO YENU unamkosea sana, Pamoja na kwamba unakuwa MKOSEFU kumbuka UNAMUUDHI MUNGU kudhurumu nafsi ya Bin adam ambaye hukuwahi kujua uumbwaji wake, Unajidai mjuaji kwa kuwa ushajua UNAPENDWA🤷🏽‍♂
Kila Bin adam anayo madhaifu yake na hata MUNGU alisema hakuna aliye mkamilifu, Kikubwa kitakachoweza kuwabeba WAPENZI ni kubebeana ili kuileta maana ya UPENDO tukiwa pamoja, Mungu awape HEKIMA WANAUME WOTE... Kuna Mwanaume aliyewahi kulala na Wanawake wazuri kama Selemani? Unadhani ni Kwanini Selemani aliomba HEKIMA?
Selemani aliomba HEKIMA kwa sababu kila Chenye kuipa burudani nafsi alikuwa nacho, Unadhani ulishawahi kuwa na Mwanamke mzuri mmoja kuliko wote unajidanganya, Unadhani utakuwa tajiri kushinda Selemani ili uitawale DUNIA? Gari lenyewe unaweka mafuta ya VIBABA je unaweza kufuga FARASI🐎 zizi zima?
Wenzio wanapesa na Bado wanajua umuhimu wa Mwanamke 💃💃
Hebu Mpende Mwanamke wako ujitengenezee WIGO WA BARAKA🙏
Pengine hujaambulia lolote kwa ujumbe huu ila nikwambie neno dogo MWANAMKE NI LULU🔥




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz