MWANAMKE USIJIAMINI KUPITIA SURA, UMBILE AMA RANGI YAKO BALI JIBIDIISHE KUJIPA THAMANI YAKO KAMA MWANAMKE 💯 - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAMKE USIJIAMINI KUPITIA SURA, UMBILE AMA RANGI YAKO BALI JIBIDIISHE KUJIPA THAMANI YAKO KAMA MWANAMKE 💯

maisha_na_mahusiano18 Instagram posts, stories and followers ...
Wanaume walio wengi wanakutazama katika mtazamo unaojichukulia wewe, na wanaume wachache wanajaribu kukupa THAMANI YAKO KAMA MWANAMKE lakini pia ujue kwa Mwanaume makini hakuna MWANAMKE mbaya😂
Jiulize katika wazo dogo tu;
• MWANAUME AKIKUCHUKULIA KATIKA MTAZAMO WAKO KWAMBA UMEJIREMBA ILI UONEKANE KWAKE ITAKUWAJE?
Ni fedheha kwa Mwanamke kujipamba ili aonekane kwa Wanaume badala ya kujisitiri ili kuitunza heshima yako💯
Wanaume kamwe hawataacha kuwinda wanawake wanaojiandaa ili waonekane mbele zao, Ndo maana hata ile maana ya UPENDO WA DHATI imetoweka.
Ni kweli wewe mzuri na umejaaliwa sifa lukuki je unashindwaje kuitunza heshima yako mwenyewe?
Heshimu uumbaji wa MUNGU kwako maana kuna wanawake wenzio wanatamani japo kuwa na tako tu wakati wewe umejaaliwa kila TAMANIO LA MWANAUME ðŸ˜‚
Fahamu jambo moja;
• MWANAUME HU-IMAGINE VILE UKIVUA UNAFANANAJE NDO MAANA HAWEZI ACHA KUKUSUMBUA KAMA HUJAMPA KIBALI AKUVUE NGUO.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz