💝💝MWANAMKE JIFUNZE JINSI YA KUMTAMANISHA MUMEO/MPENZI ILI AKUPE PENZI - EDUSPORTSTZ

Latest

💝💝MWANAMKE JIFUNZE JINSI YA KUMTAMANISHA MUMEO/MPENZI ILI AKUPE PENZI

UTAMUZAIDIAPP
*Namna ya Kumtamanisha Mmeo au mpenzi Kufanya Mapenzi*
Leo nitatumia fursa hii kuandika machache yatakayomsaidia mwanamke kumfanya mmewe awe active mara nyingi, kumfanya mmeo atamani kufanya mapenzi nawe.
Inakadiriwa kuwa wanawake ndiyo wanaopenda sana kufanya mapenzi kila muda au kila siku kitu ambacho ni tofauti kwa wanaume; hii ni kwa sababu wanaume wengi huwa bize kwa utafutaji wa kipato cha kulisha mkewe na familia, pia kama kuna ugomvi unaoendelea baina yenu, kukua kwa video za ngono mitandaoni na picha ziendanazo na mapenzi, hisia mbaya tu zozote zinamfanya mwanaume asiwe na mshawasho na mkewe, au kama anahisi humheshi, au ulishamuoneshea kuwa alikupata kwa bahati mbaya tuu hii pia itamuumiza na kumfanya akose hamu ya kimapenzi. Lakini kama hakuna tatizo dhidi ya hayo basi litakuwa ni tatizo jingine la kitaalam.
Njia muhimu za kumfanya mwanaume avutiwe kufanya mapenzi mara nyingi ni kama zifuatazo;
KUMBUKA: Kama si ubize wa kazi na matatizo madogomadogo ndiyo yanamnyima hamu (anapata hisia pale tu akiangalia mwanamke mwingine tofauti na wewe, au picha za wanawake wengine) basi hizi si njia sahihi…
*NJIA ZA KUFUATA KUMVUTIA MUMEO KUFANYA MAPENZI MARA NYINGI/KILA SIKU.*
Mfanye Akufikirie Wewe
Ongea Naye Kimapenzi/Kimahaba
Lala naye Uchi wa mnyama
Mguse guse kichokozi
Muoneshe show yako binafsi
Jiongeze kama kinyonga (badilika)
Usiulize we fanya tu.
Ondokana na Hofu
Mbambatishe abambike
Muombe msamaha/ tubu
Jianike uwazi wako kwake
Mfahamishe wewe ni mzuri
*Darasa la Mapenzi 0658248651*
💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝
Dr Luv🤓🤓🤓




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz