Kila Mwanamke DUNIANI awapo kwenye umri wa kupevuka huwazia zaidi KUWA MAMA NA MKE WA MTU AMPENDAYE na hiyo sio kama ni ndoto kwa Mwanamke bali ndo uhalisia kutokana na HITAJI LAKE ALILOPEWA NA MUNGU.
Kwa maana hiyo hiyo Mwanamke anaye Mwanaume mmoja kwenye ulimwengu wa HISIA zake, Na ili Mwanaume huyo aweze kufurahia UPENDO WA MWANAMKE yampasa akutane na Mwanamke huyo, Na hiyo ndo maana ya MUNGU kumuumba Mwanamke, Tofauti na Mwanaume alivyoumbwa Kwani UPENDO KWA MWANAUME NI HIYARI YAKE wala sio kitu ambacho unakipata kwa uhalisia⛔
Ifahamike hivyo ya kwamba MWANAMKE ASIPOOLEWA NA MWANAUME WA HISIA ZAKE maana yake wewe Mwanaume ujaye nje ya HISIA za Mwanamke ni Mtu tu kwa ajili ya hitimisho iwe kwa Mwanamke kuolewa, kuzaa na wanawake wengine kutaka kampani ya Mwanaume tu wala usiwe kipaumbele kwenye MOYO WAKE⛔
Mwanamke ndiye kiumbe pekee awezaye kuishi na Mwenza wake lakini asijue Kwanini anaishi nae😅😅😅
Namna MUNGU alivyomuumba Mwanamke aliweka MAWASILIANO makali baina ya MOYO WAKE NA MWILI ndo Maana Ukiona Mwanamke anakutii ujue MWILI NA MOYO WAKE VIKO KWENYE MAMLAKA YAKO💃
Uonapo Kudharauliwa na Mwanamke ujue sio MOYO wala MWILI wake tu Bali hana hata chembe ya HISIA juu yako ⛔
Kwa sababu Mwanamke ili awe na Mwanaume ni lazima AHISI UDHAIFU KWA MWANAUME kinyume cha hilo ama KUONDOA MUWASHO au AKUTUMIE KWA MASLAHI YAKE wala usijidanganye uwapo na Mwanamke ama kukuzalia eti ANAKUPENDA⛔
Anaweza kuzaa ili aitwe Mama, Anaweza kulala na wewe kwa mahitaji ya mwili but ASIKUPENDE HATA KIDOGO kwa sababu ALIYEMPENDA HUMUONI KWA MACHO LAKINI ANAISHI NDANI YAKE na hayo ndo maajabu ya DUNIA YA MAPENZI YA MWANAMKE ðŸ‘

No comments:
Post a Comment