LADIES!! VITAMU KULA PEKE YAKO DADA ACHA KUTANGAZA WENZAKO NAO PIA WANAITAKA IYO NAFASI. - EDUSPORTSTZ

Latest

LADIES!! VITAMU KULA PEKE YAKO DADA ACHA KUTANGAZA WENZAKO NAO PIA WANAITAKA IYO NAFASI.

Namna gani unaweza kutunza Upendo na urafiki katika mahusiano ya ...

Shida ni kwamba wanawake hawawezi kula raha wenyewe wakakaa kimya, ni lazima waelezee mashoga zao ili kuwarusha roho, mtihani ni kuwa wanawake nao hawakubali kurushwa roho wakisikia mzinga una asali wanaenda huko huko kuurina hawana muda wa kutafuta mzinga mwingine, na kasheshe ni kuwa wanaume nao ni kama nyuko hawachagui pakung’ata!
Tofauti kati ya wanawake na wanaume ni hivi, Ukiona mwanaume anaelezea utamu wa mwanamke wake basi jua kuwa huyo mwanamke ni kamnunua siku moja, anajua kabsia kuwa hana mpango naye anapita hivyo hatajali kama rafiki zake nao wakipitia. Huwezi, narudia huwezi, huwezi, huwezi kukuta mwanaume, mwenye akili timamu anelezea utamu wa mke wake kwa marafiki zake, hakuna, au utamu wa mwanamke anayempenda kwawashikaji zake!
Mwanaume hata mwanemke wake akipost kapicha tu kakifua kakakaa wazi kidogo masala wakalike anakuambia futa! Mke akapost picha masala wakasifia basi anagombana, lakini sasa dada zangu. Yaani umekutana na mwanaume kakupiga shoo ya maana hulali mpaka umuelezee shoga yako, umuambie kila kitu, yaani mpaka saizi ilivyo, yaani mpaka alivyokua analia.
Mwanaume umemuona, mzuri, mtamu unaanza kuelezea, mashoga zako wanamjua basi wanaanza kuwaza namna ya kumrina, anakuja anakuoa ni mume wako kakuletea chupi tu utatangaza mpaka kwenye magroup. Halafu ukiibiwa unalalamika, hivi kweli ulitegemea nini ulipowamabia utamu wake, hivi ni nani ana muda wa kuhanagika kutafuta mwenye utamu, ajaribishe aambulie majasho tu wakati kuna wakwako ambaye ulishasema, ulishathibitisha, ulishapitisha TBS kuwa viwango vipo?
VItamu kula peke yako dada cha kutangaza nao wengine wanataka!
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz